EPISODE · May 27, 2025 · 29 MIN
Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.
from Innocent Morris
Send us Fan Mail Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa kiroho ili uanze kila siku ukiwa na nguvu mpya kutoka kwa Bwana. Ubarikiwe sana. 📞 Innocent Morris WhatsApp: +255652796450 🔗 Mitandao ya Kijamii: 📸 Instagram: @holyspiritconnect 📘 Facebook: Holy Spirit Connect ▶️ YouTube: Holy Spirit Connect 📱 WhatsApp: +255652796450
What this episode covers
Send us Fan Mail Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa kiroho ili uanze kila siku ukiwa na nguvu mpya kutoka kwa Bwana. Ubarikiwe sana. 📞 Innocent Morris WhatsApp: +255652796450&nb...
NOW PLAYING
Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·3m
Dec 28, 2025 ·0m
Apr 24, 2025 ·4m