Innocent Morris podcast artwork

PODCAST · religion

Innocent Morris

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi

  1. 119

    THAMANI YA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ni ya thamani sana? - Innocent Morris

    Send us Fan MailKatika somo hili, utajifunza kuhusu thamani kuu ya Damu ya Yesu Kristo na kwa nini ilimwagika kwa ajili yetu. Biblia inatufundisha kwamba kupitia Damu ya Yesu tumepata msamaha wa dhambi, ukombozi, upatanisho na Mungu, na ushindi dhidi ya nguvu za giza."Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake."Waefeso 1:7Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.Karibu sasa ujifunze somo hili.Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  2. 118

    KUSUDI LA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ilimwagika? - Innocent Morris

    Send us Fan MailKatika somo hili, utajifunza KUSUDI LA DAMU YA YESU na kwa nini Yesu Kristo alilazimika kumwaga damu yake msalabani, kusudi la Damu ya Yesu linahusu matumizi ya nguvu ya kiroho ya damu hiyo ili kupata ushindi na ulinzi katika maisha ya kila siku. Misingi yake mikuu inajumuisha:Ukombozi na Msamaha: Damu ya Yesu ilimwagika ili kuondoa dhambi na kutoa mamlaka ya kushinda nguvu za giza.Ulinzi wa Kiroho: Inatumika kama ngao dhidi ya mashambulizi ya kiroho na magonjwa.Kufunguliwa Kwenye Vifungo: Kuachiliwa kutoka kwenye mikosi, laana, na mateso ya kishetani.Kutenda Kazi kwa Imani: Kusudi la damu hii linatimia pale mtu anapoiachilia na kuitumia kwa imani thabiti kupitia maombi.Katika somo hili utaelewa kwa nini damu ya Yesu bado ni msingi wa imani ya Kikristo na jinsi inavyobadilisha maisha ya kila anayemwamini.Karibu sasa ujifunze somo hili.Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  3. 117

    DALILI SABA ZINAZOONESHA UKO KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Send us Fan MailKaribu sana ujifunze somo hili kuhusu ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Hakika somo hili litakusaidia sana kujenga ukaribu wako na Roho Mtakatifu.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  4. 116

    JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Send us Fan MailKatika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha."Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi."Waefeso 4:30Roho Mtakatifu anahitaji heshima, utii, na ushirika wa karibu. Kadiri unavyojifunza kumheshimu na kumtii, ndivyo utakavyoona kazi yake kwa nguvu zaidi katika maisha yako.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  5. 115

    JINSI YA KUWA NA URAFIKI WA KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza jinsi ya kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu.Kama una kiu ya kuwa karibu sana na Roho Mtakatifu, hakika hili somo lina kufaa.Karibu ujifunze sana.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  6. 114

    KWA NINI ROHO MTAKATIFU ANAONEKANA YUPO KIMYA KWA WATU WENGI - Innocent Morris

    Send us Fan Mail Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine inaonekana kama Roho Mtakatifu yuko kimya katika maisha yako? Kwa nini wengine wanasema wanasikia sauti yake kwa uwazi, lakini wewe unaona ukimya?Katika somo hili utajifunza sababu kuu zinazoweza kufanya Roho Mtakatifu aonekane kimya kwa watu wengi, pamoja na jinsi ya kurejesha mawasiliano ya karibu na uwepo wake.Hili ni somo muhimu kwa kila Mkristo anayetamani kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu na kuongozwa na Roho wake kila siku.Karibu sana ujifunze sasa.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  7. 113

    ROHO MTAKATIFU HAKAI MBALI, TATIZO NI HILI - Innocent Morris

    Send us Fan MailKatika somo hili utapata majibu ya maswali mengi ambayo umekuwa ukijiuliza. Mfano:Nahisi Roho Mtakatifu yupo mbali nami, tatizo ni nini?Nahisi Roho Mtakatifu hanisikii nikiomba, tatizo ni nini? Nahisi Roho Mtakatifu ameniacha, tatizo ni nini?Nahisi siisikii sauti ya Roho Mtakatifu vizuri, tatizo ni nini?Katika somo hili kuhusu Roho Mtakatifu utajifunza mambo mengi sana yatakayokusaidia kukupa amani na tumaini jipya juu ya mahusiano yako na Roho Mtakatifu.Mungu akubariki sana.Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  8. 112

    MAMBO 6 YANAYOWEZA KUHARIBU URAFIKI WAKO NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye nguvu na ushirika wa karibu na Mungu.Maandiko yanatuonya:"Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu."Waefeso 4:30Somo hili litakusaidia:Kuelewa mambo yanayomfanya Roho Mtakatifu ahuzunike.Kujifunza jinsi ya kulinda ushirika wako na Mungu.Kukua katika maisha ya utakatifu na utii.Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  9. 111

    JINSI YA KUJENGA URAFIKI WA KARIBU SANA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Send us Fan MailIkiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu ujifunze katika somo hili.Hakika somo hili litakusaidia sana kujua jinsi ya kujenga urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu.Chukua pen na notebook ujifunze sasa.Ubarikiwe sanaContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  10. 110

    JINSI YA KUISHI NA ROHO MTAKATIFU KAMA RAFIKI WA KARIBU - Innocent Morris

    Send us Fan MailMungu akubariki sana.Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)

  11. 109

    MAOMBI YA UPONYAJI - Innocent Morris

    Send us Fan MailHaya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako."Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa."1 Petro 2:24Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  12. 108

    MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris

    Send us Fan MailHaya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako.Hakika utamuona Bwana Yesu akitenda katika siku yako.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)

  13. 107

    JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris

    Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri sana litakalo kusaidia katika maisha yako ya maombi.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)

  14. 106

    MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris

    Send us Fan MailKaribu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya.Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na taifa letu. Mwaka 2026 ni mwaka wa kuuona wema wa Bwana.Usisahau:✔️ Kutufollow ili upokee maombi mengine ya kila wiki.✔️ Share maombi haya ili kuwabariki wengine.Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship

  15. 105

    UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris

    Send us Fan MailKatika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026.  Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026.Pia utajifunza namna ya kuishi maisha ya kumiliki katika mwaka mpya wa 2026.Contacts: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

  16. 104

    MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris

    Send us Fan MailOmba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.MSTARI:"Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."Mathayo 15:13Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)

  17. 103

    JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris

    Send us Fan MailUvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba.Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba.Sikiliza sasa somo hili.Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship

  18. 102

    JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris

    Send us Fan MailKuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku.Sikiliza sasa somo hili.Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship

  19. 101

    JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris

    Send us Fan MailKaribu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo.Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho.Sikiliza sasa somo hili.Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworshipContact: +255652796450 (WhatsApp)

  20. 100

    SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris

    Send us Fan Mail​Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi video hii ni kwa ajili yako.Karibu ujifunze katika somo hili siri tano za kuomba maombi yenye nguvu.Sikiliza sasa somo hili.Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworshipContact: +255652796450 (WhatsApp)#holyspiritconnect #innocentmorris ​#MaombiYenyeNguvu #SiriZaMaombi #MafundishoYaNenoLaMungu #KuombaKwaImani #Uponyaji #MaombiYaKufunga #JinsiYaKuomba #NguvuYaMaombi #MunguAnajibu #UshindiKatikaMaombi

  21. 99

    MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU

    Send us Fan MailJe, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako."Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu."Matendo ya Mitume 1:8Usiache kushiriki podikasti hii na wapendwa wako ili nao wapokee neema ya Mungu.  Mungu akubariki sana 🙏.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworshipContact: +255652796450 (WhatsApp)#holyspiritconnect #innocentmorris #Maombi #Ujazo #Maombiyaujazo #RohoMtakatifu

  22. 98

    MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris

    Send us Fan MailMAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent MorrisKatika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kuepuka kiburi kinachotuzuia kuona utukufu wake.Utaongozwa kuomba ili:Mungu akuvike moyo wa unyenyekevu.Uishi maisha yanayompendeza Kristo.Ushinde roho ya majivuno na kujitegemea.Upokee neema na kibali cha Mungu kwa wingi.Tenga muda wako, na uombe maombi haya, na mwache Roho Mtakatifu akufundishe kutembea katika unyenyekevu wa kweli mbele za Mungu na wanadamu.Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworshipContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Link:https://www.instagram.com/holyspiritconnect/Facebook Link:https://www.facebook.com/holyspiritconnect/YouTube Link:https://www.youtube.com/holyspiritconnectTiktok Link:https://www.tiktok.com/@hscworship#holyspiritconnect #innocentmorris

  23. 97

    MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris

    Send us Fan MailMAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent MorrisKaribu katika maombi haya ili kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. Tunamhitaji sana Mungu katika maisha yetu kuliko kitu kingine chochote. Kwa hiyo chukua dakika kadhaa kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako."Bwana akawa pamoja na Yusufu, naye akasitawi; naye alikuwa katika nyumba ya bwana wake, yule Mmisri."Mwanzo 39:2Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworshipContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Link:https://www.instagram.com/holyspiritconnect/Facebook Link:https://www.facebook.com/holyspiritconnect/YouTube Link:https://www.youtube.com/holyspiritconnectTiktok Link:https://www.tiktok.com/@hscworship#holyspiritconnect #innocentmorris

  24. 96

    MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris

    Send us Fan MailMAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent MorrisKaribu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo.Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru, msamaha na ushindi dhidi ya nguvu zote za giza.Ungana nasi katika maombi haya na amini kwa moyo wako wote, kwa kuwa maandiko yanasema:"Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo, na kwa neno la ushuhuda wao..." (Ufunuo 12:11).  👉 Tumaini lako, uponyaji wako na ukombozi wako viko katika Yesu Kristo peke yake. Usiache kushiriki podikasti hii na wapendwa wako ili nao wapokee neema ya Mungu.  Mungu akubariki sana 🙏.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworshipContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Link:https://www.instagram.com/holyspiritconnect/Facebook Link:https://www.facebook.com/holyspiritconnect/YouTube Link:https://www.youtube.com/holyspiritconnectTiktok Link:https://www.tiktok.com/@hscworship

  25. 95

    Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.

    Send us Fan Mail Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa kiroho ili uanze kila siku ukiwa na nguvu mpya kutoka kwa Bwana. Ubarikiwe sana. 📞 Innocent Morris WhatsApp: +255652796450 🔗 Mitandao ya Kijamii: 📸 Instagram: @holyspiritconnect 📘 Facebook: Holy Spirit Connect ▶️ YouTube: Holy Spirit Connect 📱 WhatsApp: +255652796450 

  26. 94

    Faida Za Kukaa Kwenye Uwepo wa Mungu

    Send us Fan MailUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect  Contact: +255652796450 (WhatsApp)

  27. 93

    Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Sita)

    Send us Fan MailUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: https://www.youtube.com/@holyspiritconnectContact: +255652796450 (WhatsApp)

  28. 92

    Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tano)

    Send us Fan MailUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect  Contact: +255652796450 (WhatsApp)

  29. 91

    Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Nne)

    Send us Fan MailUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect  Contact: +255652796450 (WhatsApp)

  30. 90

    Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tatu)

    Send us Fan MailUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect  Contact: +255652796450 (WhatsApp)

  31. 89

    Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Pili)

    Send us Fan MailUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect  Contact: +255652796450 (WhatsApp)

  32. 88

    Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Kwanza)

    Send us Fan MailUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect  Contact: +255652796450 (WhatsApp)

  33. 87
  34. 86
  35. 85
  36. 84
  37. 83
  38. 82

    Vitu Vinavyo Nyonya Nguvu ya Mungu Kwenye Maisha Yako (SEHEMU YA TATU)

    Send us Fan MailCan faith heal the body and spirit? Tune in to hear miraculous stories of divine intervention against serious illnesses like malaria, heart disease, cancer, and HIV. By exploring the powerful symbolism of the blood of Jesus and the importance of proper nutrition, we reveal how spirituality and health are deeply intertwined. Alongside these health narratives, we delve into the ancient stories of the Nephilim, weaving a rich tapestry of belief and divine influence that spans generations. Personal encounters and family stories underscore the omnipresent power of God, making this a truly inspiring segment.What happens when love and trust are put to the test in the harshest ways? This episode also tackles the pitfalls of human relationships through a faith-based lens. Listen to the gripping tale of a man's public declaration of love and the unexpected betrayal that followed. Drawing parallels with the biblical story of Samson, we explore themes of trust, deceit, and the destructive nature of toxic relationships. We discuss the church's role in guiding us through these trials and the importance of divine guidance to overcome human deceit and malice.Forgiveness is more than a virtue; it's a necessity for spiritual well-being. Pastor Benny shares deep insights on recognizing God's power within us and the critical role of forgiveness. Learn why pride leads to downfall and how surrounding yourself with the right people can support your spiritual journey. Highlighting the teachings of Matthew 6:15, we discuss the corrosive effects of unforgiveness and the need for spiritual vigilance against Satan's attempts to mislead. Concluding with heartfelt prayers and discussions on baptism and salvation, we encourage you to open your heart to Jesus and embrace a life filled with grace and divine connection.

  39. 81
  40. 80
  41. 79
  42. 78
  43. 77
  44. 76
  45. 75
  46. 74
  47. 73
  48. 72
  49. 71
  50. 70

    UMUHIMU WA MAOMBI YA MACHOZI - Innocent Morris

    Send us Fan MailUMUHIMU WA MAOMBI YA MACHOZI - Innocent MorrisContacts: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Link:  / holyspiritconnect  Facebook Link:  / holyspiritconnect  YouTube Link:   / holyspiritconnect  

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi

HOSTED BY

Innocent Morris

Frequently Asked Questions

How many episodes does Innocent Morris have?

Innocent Morris currently has 50 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is Innocent Morris about?

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi

How often does Innocent Morris release new episodes?

Innocent Morris has 50 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to Innocent Morris?

You can listen to Innocent Morris on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts Innocent Morris?

Innocent Morris is created and hosted by Innocent Morris.
URL copied to clipboard!