EPISODE · Mar 7, 2026
Jeshi la Rwanda lawekewa vikwazo, Israeli na Marekani zashambulia Iran
from Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · host RFI Kiswahili
Matukio makubwa ya juma hili ni pamoja na Marekani kutangaza vikwazo dhidi ya jeshi la Rwanda na maafisa wake wanne wakuu, Sudan iliishtumu Ethiopia kwa kuruhusu ndege zisizokuwa na rubani kuishambulia nchi yake mwezi februari na machi, Macky Sall rais wa zamani wa Senegal miongoni mwa wagombea watatu wanaotafuta ukatibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Marekani na Israel zimeendelea kutekeleza mashambulio mazito nchini Iran, huku Iran nayo ikijibu mapigo
Embed this episode
NOW PLAYING
Jeshi la Rwanda lawekewa vikwazo, Israeli na Marekani zashambulia Iran
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.