EPISODE · Apr 16, 2026 · 1 MIN
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali “AWALI KUWA HERI SI AJABU”
from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Dkt. Josephat Gitonga
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo mchambuzi wetu ni Dkt. Josephat Gitonga, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya, kwenye Kitivo cha Tafsiri na Ukalimani anafafanua maana ya methali “AWALI KUWA HERI SI AJABU”
Embed this episode
NOW PLAYING
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali “AWALI KUWA HERI SI AJABU”
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.