JIFUNZE KISWAHILI - NENO: NYAPANYAPA episode artwork

EPISODE · Mar 26, 2026

JIFUNZE KISWAHILI - NENO: NYAPANYAPA

from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Assumpta Massoi/Onni Sigalla

Sasa umewadia wasaa wa kujifunza Kiswahili hii leo, mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Anafafanua maana ya neno "NYAPANYAPA" katika muktadha wa uwindaji.Bwana Sigalla anasema "nyapanyapa ni tabia ya mwindaji ambayo anatembea kwa kunyata sana, pole pole ili asisikike wakati anawinda.Anakuwa ananyemelea. Lengo ni kuhakikisha anamsogelea mnyama ama kumshika au kuweza kuwinda mnyama vizuri."

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Mar 26, 2026

Embed this episode

NOW PLAYING

JIFUNZE KISWAHILI - NENO: NYAPANYAPA

0:00 0:00

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

When was this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode published?

This episode was published on March 26, 2026.

Can I download this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!