EPISODE · May 24, 2026 · 1H 6M
JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
from Innocent Morris · host Innocent Morris
Send us Fan MailKatika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha."Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi."Waefeso 4:30Roho Mtakatifu anahitaji heshima, utii, na ushirika wa karibu. Kadiri unavyojifunza kumheshimu na kumtii, ndivyo utakavyoona kazi yake kwa nguvu zaidi katika maisha yako.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect
What this episode covers
Send us Fan Mail Katika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha. "Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi." Waefeso 4:30 Roho Mtakatifu anahitaji heshima, utii, na ushirika wa karibu. Kadiri unavyojifunza kumheshimu na kumtii, ndivyo utakavyoona kazi yake kwa nguvu zaidi katika maisha yako. Ubarikiwe sana. Innoce...
NOW PLAYING
JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·3m
Dec 28, 2025 ·0m
Apr 24, 2025 ·4m