EPISODE · Oct 14, 2025 · 1H 5M
JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris
from Innocent Morris · host Innocent Morris
Send us Fan MailKaribu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo.Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho.Sikiliza sasa somo hili.Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworshipContact: +255652796450 (WhatsApp)
Embed this episode
NOW PLAYING
JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.