JINSI YA KUPATA TENDA ZA SERIKALI KUPITIA MFUMO WA NeST episode artwork

EPISODE · Mar 20, 2024 · 15 MIN

JINSI YA KUPATA TENDA ZA SERIKALI KUPITIA MFUMO WA NeST

from Tenda Radio TZ Podcast · host Tenda Radio TZ

#KIMEPEWA NGUVU NA PPRA #KAMATA FURSAUnawezaje kupata Tenda ya Serikali kwa haki kupitia Mfumo wa NeST? Kipindi hiki kitakufungua kuhusu jinsi ambavyo unaweza kupata tenda za Serikali (zabuni za umma) kupitia Mfumo wa NeST, na kupata sehemu ya bajeti ya zaidi ya Sh. 25 Trilioni zilizowekwa kwenye mfumo huo.  Kwenye episode hii utawasikia wazabuni walioshinda zabuni, wakieleza siri ya mafanikio yao, utawasikia wakuu wa vitengo vya ununuzi Serikalini watakaoeleza kiasi cha fedha walichotenga kwa ajili yako mzabuni na jinsi wanavyoandaa zabuni.Pia, utawasikia Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) wakieleza kwa kina kuhusu ufanisi wa Mfumo na michakato ya ununuzi wa umma. 

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Mar 20, 2024

Embed this episode

Ready to play

JINSI YA KUPATA TENDA ZA SERIKALI KUPITIA MFUMO WA NeST

0:00 15:09

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Tenda Radio TZ Podcast?

This episode is 15 minutes long.

When was this Tenda Radio TZ Podcast episode published?

This episode was published on March 20, 2024.

Can I download this Tenda Radio TZ Podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!