EPISODE · Nov 14, 2025 · 1H 6M
JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
from Innocent Morris
Send us Fan MailUvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba.Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba.Sikiliza sasa somo hili.Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship
What this episode covers
Send us Fan Mail Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikast...
NOW PLAYING
JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·3m
Dec 28, 2025 ·0m
Apr 24, 2025 ·4m