Skip to content
KUONGEZA THAMANI episode artwork

EPISODE · Dec 11, 2023 · 9 MIN

KUONGEZA THAMANI

from H.W PODCAST - Positive Vibes! · host Hub of Wisdom inc.

Hauwi wa thamani kwasababu ya kile unachokipata bali kile unachokitoa. "Kwakuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna, apandaye haba atavuna haba. Apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu." Kitakachofanya bidhaa zako au huduma zako ziwe za thamani sio gharama yake bali ni manufaa yanayotokana na hiyo huduma. Ili upate faida kubwa kutokana na kile unachokifanya unatakiwa upande mbegu ya thamani. . . Fuatilia mtiririko wa matoleo haya kupitia H.W TV na H.W PODCAST kila wiki. Tembelea www.hubofwisdom.com/media kufahamu zaidi. Maoni yako ni ya thamani sana kwetu ili toleo lijalo liwe bora zaidi kwa ajili yako na wafuatiliaji wengine. Tuma ujumbe wako wa maoni kwenda namba 0753825794 au andika barua pepe kwenda [email protected] . TUNAFURAHI UKISIKILIZA LAKINI TUNAFURAHI ZAIDI UNAPOFANYA, KWAHIYO NENDA DUNIANI UKAFANYE ZAIDI NA KUWA ZAIDI! #karibu_nyumbani

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Dec 11, 2023

Embed this episode

Ready to play

KUONGEZA THAMANI

0:00 9:29

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of H.W PODCAST - Positive Vibes!?

This episode is 9 minutes long.

When was this H.W PODCAST - Positive Vibes! episode published?

This episode was published on December 11, 2023.

Can I download this H.W PODCAST - Positive Vibes! episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!