Skip to content
H.W PODCAST - Positive Vibes! podcast artwork

PODCAST · education

H.W PODCAST - Positive Vibes!

by Hub of Wisdom inc.

Ni muda wa kuchukua nafasi yako katika meza ya H.W nasi tutawasilisha kwako mawazo ya thamani kwa maneno ya dhahabu. Mahali pa kwanza na pekee unapohitaji kuwa kwa ajili ya ustawi wako. Karibu tujifunze vingi.Pata nafasi ya kusikiliza mambo ya msingi sana yatakayonoa stadi zako, kukuongezea maarifa na kuchochea maendeleo yako ya kiutu. #Karibu_nyumbani.

Publisher-supplied feed metadata · PodParley refreshed Apr 16, 2026 · Source feed

Episodes

  1. UHURU WA KIFEDHA KUPITIA UWEKEZAJI - Emilian Busara (MBA, CPA)

    Ikiwa unaanza au ni mzoefu tayari katika eneo la uwekezaji kupitia hisa, UTT, hati fungani (bonds) katika video hii mwanataaluma Mwl. Emilian Busara (MBA, CPA) katika uongozi katika biashara, miradi na fedha anakufundisha hatua kwa hatua mbinu rahisi na za kipekee za kuwekeza kwenye hisa na…

    more
  2. Najma Paul - KUIJENGA NGUVU YAKO & KUKABILIANA NA CHANGAMOTO

    "Nianze kwa kuzungumzia hili eneo... Mitikasi ya maisha yako, kutafuta kwako, kupambana kwako. Lifestyle yako, maizingira unayoishi, vinaamua, vinahitaji na vinajenga NGUVU YAKO." Anasema Najma Paul "Fanya vitu vinavyokukwaza, vitu vinavyokukera, katikati ya hivyo vitu kuna miujiza. Niamini…

    more
  3. KUFIKIA KIWANGO CHA JUU ZAIDI KATIKA KILE UTAKACHOKIFANYA - Sebastian Kolowa

    "Sisi sote tuna nafasi ya kustawi zaidi katika chochote tunachokifanya. Changamoto inayotukumba vijana wengi ni kwamba hatutambui na kuzifuata zile hatua muhimu zenye kutufikisha hapo. Muda ni mchache na sio sawa kwenda bila dira. Ndio maana leo nimeona niyazungumze haya yafuatayo..." Anasema...

  4. MAKOSA MAKUBWA YANAYOFANYIKA KATIKA MAHUSIANO NA NAMNA YA KUYAEPUKA - Sadaka Gandi #Mapenzi

    "Wewe unaamini kwamba huyo mwenzako unampenda kumbe kuna makosa makubwa sana. Twende pamoja tuangalie vijana wanakosea wapi na namna gani ufanye ili kuepuka au kurekebisha makosa." Anasema Bi Sadaka Gandi, mtaalamu wa saikolojia ya familia na mshauri mbobevu katika maswala ya mahusiano. Fuatilia...

  5. KUONGEZA THAMANI

    Hauwi wa thamani kwasababu ya kile unachokipata bali kile unachokitoa. "Kwakuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna, apandaye haba atavuna haba. Apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu." Kitakachofanya bidhaa zako au huduma zako ziwe za thamani sio gharama yake bali ni manufaa yanayotokana na...

  6. NAMNA SAHIHI YA KUJENGA

    "Start Small think Big". Zingatia mambo madogo. "Start Small, Think Big". Ukifanya vizuri katika uwanda mdogo hata siku ukiwa katika uwanda mkubwa, uwezekano ni kwamba utafanya vizuri. Wakati unapofikiria kujenga mambo makubwa anza kidogokidogo....

  7. KWANINI MAHUSIANO MENGI YA KIMAPENZI HAYADUMU? - Sarah Ngonyani

    Kwa uwazi na utaalamu Mis Sarah anaelezea namna ya kudumisha mahusiano ya kimapenzi. Sikiliza

  8. WATU

    "The more hands you shake, the more opportunities you create." Katika hatua za awali za kujenga biashara au asasi uwezekano mkubwa ni kwamba watakaojihusisha na wewe ni watu wanaokufahamu. Vivyo hivyo ili watu wakufungulie milango ya fursa kigezo kimoja wapo kikubwa ni namna gani wanakufahamu....

  9. MIPANGO

    Watu wengi hudhani kuwa wakipata fedha nyingi ndio watafanya mambo fulani makubwa. Lakini ukweli ni kwamba wengi hawana umadhubuti wa matarajio yao, yapo hewani tu. Fuatilia mtiririko wa episode hizi kwa katika YouTube: H.W TV na Podcast: H.W PODCAST kila wiki. Maoni yako ni muhimu na...

  10. SIRI ZA USHINIDI - Halima Kopwe (MISS WORD TZ 2023)

    'From a Rough to a Diamond' Mis. Halima Kopwe anaelezea safari yake ya ushindi na kile anachowashauri vijana wengine wenye kiu ya kustawi katika nyanja walizopo. EDITION 4 - THE WISE MEGA MEET-UP (Episode) Tembelea www.hubofwisdom/media kuangalia na kusikiliza zaidi. Toa maoni yako ili jukwaa…

    more
  11. DONDOO ZA MPENYO WA KIUCHUMI - James Mwang'amba.

    "Tunaposema mpenyo wa kifedha maana yake ni kwamba mtu anatoka sehemu moja ya chini na kwenda katika sehemu nyingine ya juu. Ushindani ni mkubwa na hakuna mtu anayejali kwamba unalia au unalalamika. Watu wanataka kuona kwamba unaleta nini mezani." Anasema James Mwang'amba. Fuatilia muhtasari huu…

    more
  12. MALENGO (Goal Setting) - Anthony Luvanda

    Unachotakiwa kufahamu kuhusu malengo. Anthony Luvanda anazungumzia manufaa ya kuweka malengo, sababu zinazowafanya watu wengi wasizingatie kuweka malengo na Kwanini watu wengi wenye malengo wanashindwa kutekeleza. Ufanye mini kuliepuka hilo? Tia maono yako kuhusu toleo hili. Tuma ujumbe wa sauti…

    more
  13. Dina Marios anatoa funzo kubwa kutoka katika historia ya kusisimua ya maisha yake. Hamasika!

    Mwanadada Dina ni mmoja wa watu wanaoshangiliwa sana hapa Tanzania. Ameotesha mizizi ya ushawishi kwa hadhira yake kupitia umaridadi alionao katika media na harakati za kuwaleta wanawake wa kitanzania pamoja. Lakini nani ajuaye kuhusu mapito yake na kilichomfanya asimame na kuwa mfano bora hata...

  14. MAPENZI YA BLUETOOTH - Irene Kamugisha.

    "Connection kwenye mapenzi ni suala la muhimu sana. Inawezekana kufanya mapenzi yakashamiri na yakawa na tija kwa wewe na mwenzako kama kuzingatia mambo haya niyakayoyazungumza hapa." Anasema madam Irene Kamugisha. Mmoja wa washauri bora sana wa masuala ya mahusiano hapa Tanzania.

  15. Mafanikio ya Kifedha | Victor Mwambene - (Kanuni kumi za kutengeneza fedha)

    "Mafanikio ya kifedha sio bahati, mafanikio yanakuja kwa kuwa na maarifa sahihi juu ya fedha, kwa juhudi, nidhamu binafsi na kwa kupambana. Mungu ametupa wote neema ila ni tabia zetu, imani na fikra zetu ndio zinazoamua ustawi wetu. Hizi ni kanuni kumi zitakazokujengea uwezo wa kustawi kiuchumi."...

  16. Mkakati wa maendeleo Binafsi - Mosses Raymond (Samora)

    Ili mwanadamu aweze kutimiza kusudi la uwepo wake maishani ni lazima atumie na kuboresha uwezo wake binafsi. Kwa kufanya hivyo ndio atakuwa mwenye tija. Mosses Raymond anaeleza ukweli wa maisha, kwanini tujinoe, kwa namna ipi, na namna gani tujiendeleze kibinafsi. Kuwa sehemu ya mijadala hii kwa...

  17. Kujiandaa kwa ajili ya ndoa - Chris Mauki

    "Ndoa ni kama nyumba, msingi usipokuwa mzuri, nyumba haiwi imara."

  18. KUFUNGUA MILANGO YA FURSA ZA KIFEDHA - James Mwang'amba.

    Kustawi kifedha na mafanikio ya uchumi kwa ujumla ni matokeo ya maarifa na juhudi zinazoelekezwa katika kutengeneza fursa na kuzitumia. James Mwang'amba ni mtaalamu wa masuala ya biashara na mhamasishaji. Ni mjasiriamali na mbobevu katika masuala ya fedha. Katika episode hii anazungumzia mbinu...

  19. KUOA NA KUOLEWA. Upi ni muda sahihi? Fahamu sababu na namna ya kushulika nazo - Sadaka Gandi.

    "Tunaongea habari ya kuoa na kuolewa. Pamoja na kwamba wanasema ndoa haina fomula lakini kuna _best practices_ ambazo ukizifuata utaona matunda." Anasema Aunt Sadaka. Pata kufahamu kuhusu madhara ya kuoa au kuolewa mapema, kuchelewa, sababu zipi hupelekea na namna gani ya kushughulika nazo. Kuwa...

  20. Masoud Kipanya - MBINU MBADALA ZA MAENDELEO

    Maendeleo ni kitu muhimu na tunahitaji uthubutu na uimara wa kifikra ili tufaulu. "Na ukitaka kufaulu kuliko kwingi, jifunze sana kutokulaumu watu, jifunze kutokutegemea watu. Jifunze kutengeneza njia." Anasema Ally Masoud. "Mambo yote haya yanaanza na fikra ndugu zangu." @masoudkipanya...

  21. KANUNI ZA MAFANIKIO - Anthony Luvanda.

    "Ninaamini haya mambo saba ukiyafanya basi kuna uwezekano mkubwa sana yakwamba ukafanikiwa katika jambo lolote unalotaka kulifanya." Anasema Anthony Luvanda. Mr. Anthony Luvanda anaelezea mambo yanayochochea mafanikio. #kanuni #mafanikio #luvanda #karibu_nyumbani ................. Kuwa sehemu ya...

  22. Joel Lwaga - KWENDA KWA VIJANA WENYE SHAUKU YA KUSTAWI KATIKA MAISHA YAO. (An inspiring interview)

    "Wewe ambaye unahisi unakipaji fulani, kifanyie kazi. Natamani kila mmoja ajue ya kwamba Mungu amempa kila mtu uwezo, na hicho kipawa ndio sahani yako." Anasema Joel. "Kuna wakati nilihisi kukata tamaa, kipindi ambacho hakuna tumaini, katika hali kama hiyo Mungu analeta ujumbe, 'Mimi ni mtetezi...

  23. SIRI 5 ZA KUDUMISHA MAPENZI - Dr. Chris Mauki.

    Dr. Chris Mauki mtaalamu na mbobevu katika maswala ya mahusiano. Hapa anaelezea siri tano zitakazokusaidia kufanya mahusiano yako yastawi, kukuweka tayari kwa ajili ya kuingia kwenye mahusiano, kukusaidia kutatua migogoro na mambo mengine mengi unayopaswa kuyajua ili kukufanya imara na kukupa…

    more
  24. TATHMINI YA MAISHA YA YAKO - Amos Makala

    Kuna haja ya kufanya tathmini ya maisha yako. Maana cha muhimu kwetu sio miaka tunayoishi kwenye maisha yetu bali maisha tunayoishi kwenye miaka yetu. Amos anaelezea kwa upana.

  25. NAMNA NZURI YA KUPENDA | Amri Amri

    Je, unafahamu namna nzuri ya kupenda? Amri Amri anazungumza juu ya 'namna ya kupenda kweli.' Namna gani mwenza anatakiwa afanye kwa ajili ya kulinda na kuendeleza mapenzi ya kweli. Mambo ambayo hutakiwi kufanya kwenye mapenzi. Kuwa sehemu ya mojadala hii kwa njia ya WhatsApp kwa kutuma neno…

    more
  26. KUONGEZA TIJA (Productivity) | Anthony Luvanda

    Mafanikio ni matokeo ya tabia. Tabia tuliyonayo ndio itakufanya Israeli au usisitawi. Kwenye jambo lolote like. Je, umewahi kujiuliza ni nini ufanye ili kuongeza ufanisi wako? Anthony Luvanda anaelezea njia tano zitakazochangia kukuza ufanisi wako.

  27. KWA WENYE SHAUKU YA KUTIMIZA NDOTO ZAO | Kutoka kwa Paul Clement

    Paul Clement anaelezea kwa hisia historia ya maisha yake halisi na kutoa hamasa kwa kila mwenye shauku ya kufika mahali fulani kufuata malengo aliyojiwekea, uwezo au kipaji alichonacho. #Karibu_nyumbani

  28. THE NEW CURRENCY | Isaac J.

    The truth is, many people find it annoying to innitiate unnecessary bonds. But here is the punchline...

  29. THE SHIFT Sehemu ya pili (Kiswahili) - KUSTAHIMILI

    Kinachotufanya kufuzu kwenda kwenye hatua ya ushindi ni uwezo wetu wa kustahimili. Jifunze kustahimili... utengeneze njia ya kuhama kutoka kwenye matatizo kwenda miujiza

  30. THE SHIFT - A Transformational Secret 'From Problems To Miracles'

    Here is what you had always been in need of. That which will quench your zest. In this first episode we've shared with you transformational secret (From problems to miracles). Sharing Ideas that matter!

  31. H.W... @clouds fm

    maelezo ya Program ya usomaji

  32. UJASIRI | Reuben Ndimbo

    Kujiamini sio suala la wewe kuogopa kukosea bali kuthubutu kufanya.

  33. WEWE NI NYOTA | Lilian Mwasha

    "Ukiwa unakitu ndani yako ule uzuri wa nje huwa unajengeka kwa kufuata uzuri wa ndani" Anasema dada Lillian Mwasha.

  34. FURAHA | Alice Prince

    Namna ya kuibua, kutengeneza na kutunza furaha yako pamoja na kushinda upitapo katika changamoto.

  35. SAMWELI SASALI | Exclusive interview

    Mr. Sam Sasali anaelezea kwa muhtasari kuhusu maisha yake na kufafanua zaidi baadhi ya mambo ambayo wanajamii @house_of_wisdom_grp wametamani kufahamu

  36. UBUNIFU | Harris Kapiga

    Harris Kapiga anasema kuhusu maisha yake binafsi na nini anaiambia jamii kuhusu suala la ubunifu.

  37. WEWE NDIYE MWAMUZI WA HATIMA YAKO | Anthony Luvanda

    Mc Luvanda anaelezea kinagaubaga kuhusu maisha yake binafsi na nini anakifahamu kuhusu hatima ya mtu na uwezo wake katika kuiamua. #Karibu_nyumbani

  38. H.W podcast

    #Karibu_nyumbani

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Ni muda wa kuchukua nafasi yako katika meza ya H.W nasi tutawasilisha kwako mawazo ya thamani kwa maneno ya dhahabu. Mahali pa kwanza na pekee unapohitaji kuwa kwa ajili ya ustawi wako. Karibu tujifunze vingi.Pata nafasi ya kusikiliza mambo ya msingi sana yatakayonoa stadi zako, kukuongezea maarifa na kuchochea maendeleo yako ya kiutu. #Karibu_nyumbani.

HOSTED BY

Hub of Wisdom inc.

Frequently Asked Questions

How many episodes does H.W PODCAST - Positive Vibes! have?

H.W PODCAST - Positive Vibes! currently has 39 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is H.W PODCAST - Positive Vibes! about?

Ni muda wa kuchukua nafasi yako katika meza ya H.W nasi tutawasilisha kwako mawazo ya thamani kwa maneno ya dhahabu. Mahali pa kwanza na pekee unapohitaji kuwa kwa ajili ya ustawi wako. Karibu tujifunze vingi.Pata nafasi ya kusikiliza mambo ya msingi sana yatakayonoa stadi zako, kukuongezea maarifa...

How often does H.W PODCAST - Positive Vibes! release new episodes?

H.W PODCAST - Positive Vibes! has 39 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to H.W PODCAST - Positive Vibes!?

You can listen to H.W PODCAST - Positive Vibes! on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts H.W PODCAST - Positive Vibes!?

H.W PODCAST - Positive Vibes! is created and hosted by Hub of Wisdom inc..
URL copied to clipboard!