EPISODE · Jun 23, 2026
Kwa nini ni muhimu wanaume kuzingatia afya zao haswa afya ya akili
from Siha Njema · host RFI Kiswahili
Mwezi Juni ni mwezi wa kutoa uhamasisho kuhusu afya ya akili miongoni mwa wanaume ,swala la afya ambalo hupuuzwa mno Daktari Dominic Osiemo anasema wanaume wana haki wa kuonesha hisia ,kueleza maumivu yao na kutaka kuskizwa. Na wanapofanya hivyo wanalinda afya zao za akili. Anaonya wanaume wengi wanakuwa hatarini kwa sababu wanajaribu kudhihirishia jamii kuwa wao ni imara siku zote. Baadhi ya vipimo muhimu kwa wanaume ni kipimo cha kiwango cha sukari ,kipimo cha tezi dume na shinikizo la damu.
Embed this episode
Ready to play
Kwa nini ni muhimu wanaume kuzingatia afya zao haswa afya ya akili
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.