EPISODE · May 19, 2026 · 1H 7M
KWA NINI ROHO MTAKATIFU ANAONEKANA YUPO KIMYA KWA WATU WENGI - Innocent Morris
from Innocent Morris · host Innocent Morris
Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine inaonekana kama Roho Mtakatifu yuko kimya katika maisha yako? Kwa nini wengine wanasema wanasikia sauti yake kwa uwazi, lakini wewe unaona ukimya?Katika somo hili utajifunza sababu kuu zinazoweza kufanya Roho Mtakatifu aonekane kimya kwa watu wengi, pamoja na jinsi ya kurejesha mawasiliano ya karibu na uwepo wake.Hili ni somo muhimu kwa kila Mkristo anayetamani kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu na kuongozwa na Roho wake kila siku.Karibu sana ujifunze sasa.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect
Embed this episode
Ready to play
KWA NINI ROHO MTAKATIFU ANAONEKANA YUPO KIMYA KWA WATU WENGI - Innocent Morris
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.