Lenga nyota ili ukizikosa uupate mwezi asema Alinda Mashiku, Mhandisi NASA episode artwork

EPISODE · Apr 28, 2026 · 28 MIN

Lenga nyota ili ukizikosa uupate mwezi asema Alinda Mashiku, Mhandisi NASA

from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Anold Kayanda/Alinda Matiku

Anold Kayanda wa Idhaa hii anazungumza na Dkt. Alinda Mashiku, Mhandisi wa masuala ya anga katika moja ya Vituo vya masuala ya anga za mbali nchini Marekani, NASA. Kwa kuzingatia kuwa Umoja wa Mataifa unapigia chepuo wasichana na wanawake kupata fursa katika sayansi na teknolojia, swali la kwanza la Anold Kayanda kwa Alinda Mashiku ni ameipokeaje hatua ya hivi karibuni ambapo kwa mara ya kwanza mwanamke Christina Cochameshiriki katika timu ya wana-anga waliosafiri na kufanikiwa kuuzunguka mwezi katika eneo mbali zaidi katika anga ya mbali ambako kulikuwa hakujawahi kufikiwa na  wanadamu?

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Apr 28, 2026

Embed this episode

Ready to play

Lenga nyota ili ukizikosa uupate mwezi asema Alinda Mashiku, Mhandisi NASA

0:00 28:18

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu?

This episode is 28 minutes long.

When was this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode published?

This episode was published on April 28, 2026.

Can I download this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!