Skip to content
Maarifa ya Asili (Utangulizi) episode artwork

Feb 4, 2024 1 hr 26 min

Maarifa ya Asili (Utangulizi)

from Tanzania Gnosis's podcast Hosted by Tanzania Gnosis

Gnosis siyo dini kana kwamba watu wake ni wa kutafuta kukusanya watu na kuanzisha nyumba za ibada. Gnosis ni maatifa ya ndani ambayo huambatana na juhudi katika natendo hata kupata matokeo chanya. Wana-gnosis tunaheshimu dini zote maana tunapotizama mafundisho yake tunakuta ni kivuli ya majukumu ambayo kila mwana-gnosis hupaswa kupitia yaani njia yenyewe ya kuelekea nuruni. Njia ya Gnosis haijihusishi na kunyoshea watu vidole wala hatujikwezi ya kwamba sisi ni bora kuliko yeyote. Tunatambua jukumu la kubadilika sisi kwanza ili wengine nao wabadilike na siyo kupambana kuona mabovu ya wengine huku ya kwetu hatuyaoni. Kila mwana-gnosis huipita njia ya maarifa hatua kwa hatua, kupanda na kushuka hata kuufikia ukamilifu. Pamoja na kwamba mwana-gnosis atafikia kizio cha juu ya utimilifu, hakupo kujikweza kusema kwamba yeye ni bora kuliko fulani. Vilevile ni siri ya mtu kusema kizio alichofikia kwa maana kizio afikiacho mtu ni ya ndani yake na wala hakihusiani na mwili huu wa uharibifu. Ndiyo maana tunajifunza maarifa ya ndani ambayo hayahusiani kabisa na maarifa ya akili (intellectual mind). Utajifunza maarifa yatokanayo na utu wa ndani kwa faida za nafsi yako. Kwa maana ni muhimu sana kuyafahamu maarifa ya ndani yako na mengine yote huja kama mshahara wa ufahamu wako juu ya Muumba aliye ndani yako. Maarifa haya siyo yale yaliyozoeleka yaani ya mwili ama ya kiakili, la hasha. Pamoja na yoye, ni kwamba tunatumia mwili kama ni mlango wa kutupitisha kule tuendako kwa maana tupo kwenye miili kwa kusudi maalumu.

Episode details come from the podcast's RSS feed.

Embed this episode

Ready to play

Maarifa ya Asili (Utangulizi)

0:00 1:26:28

No transcript yet.

Requests help us decide what to transcribe next.

Frequently asked questions

How long is this episode of Tanzania Gnosis's podcast?

This episode is 1 hour and 26 minutes long.

When was this Tanzania Gnosis's podcast episode published?

This episode was published on February 4, 2024.

Is there a transcript available for this episode?

Yes, a full transcript is available for this episode. You can read the complete transcript on the episode page.

Can I download this Tanzania Gnosis's podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.