Skip to content
Tanzania Gnosis's podcast podcast artwork

Tanzania Gnosis's podcast

by Tanzania Gnosis

Neno "Gnosis" hurejelea ujuzi tunaopata kupitia uzoefu (experience) wetu wenyewe, lakini pia si sawa na ujuzi ambao tunaambiwa au kuamini. Gnosis - kwa jina lolote katika historia au utamaduni - ni maarifa, uzoefu, si ujuzi wa kiakili au dhana tu, imani, au nadharia. Neno hili ni sawa na neno la Kiebrania "Daath" na la Sanskrit "Jna."

From the show's RSS feed, refreshed Aug 17, 2026. Source feed.

Subscribe Bookmark

Episodes

  1. Mti wa Ujuzi - 3. Maarifa (Ujuzi), Mema na Mabaya (Seh. 3)

    Maarifa ya ndani ni kazi ya kiungu ndani ya mwanadamu. Maarifa haya hayahusiani na akili (intellect). Maarifa ama ujuzi hufahamika kwa Kiebrania kama "Daath". Maarifa yanaweza kusababisha uzima ama mauti kwa mtu, itategemeana na kazi za matendo yake. Katika masomo haya, tunapata kuona ya kwamba...

  2. Mti wa Ujuzi - 3. Maarifa (Ujuzi), Mema na Mabaya (Seh. 2)

    Nyoka hufahamika kama shetani na inaandikwa hivyo. Lakini wanadamu wa tabia za mwili hawafahamu upande wa pili wa kile kinachofahamika kama nyoka! Neno la Kiebrania Tov טוב lina maana na "mema" lakini ndani ya hayo mema tunaona kuna herufi ya Kiebrania Tet ט enye maana ya "nyoka" kadhalika herufi...

  3. Mti wa Ujuzi - 3. Maarifa (Ujuzi), Mema na Mabaya (Seh. 1)

    Neno "mema na mabaya" kwa Kiebania ni טוב ו רע (tov ve ra). Tov טוב ikiwa na herufi tatu yaani Tet ט, Vav ו na Beth ב. Kadhalika Ra רע ikiwa na herufi Resh ר na Ayin ע. Tatika Tov טוב tunapata kufahamu maana iliopo katika kila herufi zilizofanya neno hilo yaani: • Tet ט ikiwa na maana ya nyoka...

  4. Mti wa Ujuzi - 2. Maarifa (Ujuzi), Adam na Eva ndani yetu

    Tunapozungumzia Adam tunapata tafsiri ya mwanaume, kadhalika Eva, mwanamke. Katika maarifa ya ndani tunapata kufahamu ya kwamba Adam na Eva ni uhusika ambao unakamilisha uhalisia wetu sisi wenyewe. Adam na Eva ni mikondo miwili ya nishati inayofanya kazi kwa pamoja na tena kwa ushirikiano.…

    more
  5. Mti wa Ujuzi - 1. Maarifa (Ujuzi), Mlango

    Mti wa ujuzi ni elimu ya kiroho inayohusiana na nafsi ya mwanadamu. Mwili wa mwanadamu ni chombo kinachobeba nafsi na roho hivyo hatuwi na miili kana kwamba haina cha kufanya ambacho kinahusiana na ukombozi wa nafsi zetu. Kumekuwa mkanganyiko wa mafundisho juu ya elimu nzima inayohusiana na…

    more
  6. Maarifa ya Asili (Utangulizi)

    Gnosis siyo dini kana kwamba watu wake ni wa kutafuta kukusanya watu na kuanzisha nyumba za ibada. Gnosis ni maatifa ya ndani ambayo huambatana na juhudi katika natendo hata kupata matokeo chanya. Wana-gnosis tunaheshimu dini zote maana tunapotizama mafundisho yake tunakuta ni kivuli ya majukumu...

About this show

Neno "Gnosis" hurejelea ujuzi tunaopata kupitia uzoefu (experience) wetu wenyewe, lakini pia si sawa na ujuzi ambao tunaambiwa au kuamini. Gnosis - kwa jina lolote katika historia au utamaduni - ni maarifa, uzoefu, si ujuzi wa kiakili au dhana tu, imani, au nadharia. Neno hili ni sawa na neno la Kiebrania "Daath" na la Sanskrit "Jna."

Hosted by

Tanzania Gnosis

Frequently asked questions

How many episodes does Tanzania Gnosis's podcast have?

Tanzania Gnosis's podcast has 6 episodes on PodParley. The most recent episode was published on March 17, 2024.

What is Tanzania Gnosis's podcast about?

Neno "Gnosis" hurejelea ujuzi tunaopata kupitia uzoefu (experience) wetu wenyewe, lakini pia si sawa na ujuzi ambao tunaambiwa au kuamini. Gnosis - kwa jina lolote katika historia au utamaduni - ni maarifa, uzoefu, si ujuzi wa kiakili au dhana tu, imani, au nadharia. Neno hili ni sawa na neno la...

How often does Tanzania Gnosis's podcast release new episodes?

Tanzania Gnosis's podcast publishes weekly, based on its 6 episodes since February 2024.

Who hosts Tanzania Gnosis's podcast?

Tanzania Gnosis's podcast is created and hosted by Tanzania Gnosis.
Link copied