EPISODE · Jan 3, 2026 · 1H 43M
MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris
from Innocent Morris · host Innocent Morris
Send us Fan MailKaribu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya.Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na taifa letu. Mwaka 2026 ni mwaka wa kuuona wema wa Bwana.Usisahau:✔️ Kutufollow ili upokee maombi mengine ya kila wiki.✔️ Share maombi haya ili kuwabariki wengine.Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship
What this episode covers
Send us Fan Mail Karibu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya. Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na taifa letu. Mwaka 2026 ni mwaka wa kuuona wema wa Bwana. Usisahau: ✔️ Kutufollow ili upokee maombi...
NOW PLAYING
MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·3m
Dec 28, 2025 ·0m
Apr 24, 2025 ·4m