EPISODE · Oct 14, 2025 · 57 MIN
MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU
from Innocent Morris · host Innocent Morris
Send us Fan MailJe, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako."Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu."Matendo ya Mitume 1:8Usiache kushiriki podikasti hii na wapendwa wako ili nao wapokee neema ya Mungu. Mungu akubariki sana 🙏.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworshipContact: +255652796450 (WhatsApp)#holyspiritconnect #innocentmorris #Maombi #Ujazo #Maombiyaujazo #RohoMtakatifu
What this episode covers
Send us Fan Mail Je, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako. "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu." Matendo ya Mitume 1:8 Usiache kushiriki podikasti hii na wapendwa wako ili nao wapokee neema ya Mungu. Mungu akubariki sana 🙏. Inn...
NOW PLAYING
MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·2m
Dec 28, 2025 ·3m
Dec 28, 2025 ·0m
Apr 24, 2025 ·4m