EPISODE · Mar 2, 2026 · 3 MIN
Matumaini ya maisha mapya kwa watoto katika ukanda wa Gaza yazidi kufifia
from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Rashid Malekela
"Hakuna maisha ya baadaye! Siyaoni maisha ya baadaye kwani sioni wanaoshikamana nasi!" Hayo ni sehemu tu ya maoni ya watoto walioko Ukanda wa Gaza, eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli wakati huu ambapo makombora yanaendelea kurindima, mustakabali wao uko mashakani, na wanachohitaji kama inawezekana ni amani na ujenzi mpya wa makazi ili waweze kurejea katika maisha ya kawaida ndani ya nyumba zao na kuacha kuishi kama wakimbizi katika ardhi yao wenyewe. Rashid Malekela anatupeleka kwenye makazi yao huko Gaza!
Embed this episode
Ready to play
Matumaini ya maisha mapya kwa watoto katika ukanda wa Gaza yazidi kufifia
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.