Miaka 10 ya BMH: Jinsi Hospitali ya Benjamin Mkapa Ilivyobadilisha Huduma za Kibingwa Tanzania episode artwork

EPISODE · Jun 4, 2026 · 44 MIN

Miaka 10 ya BMH: Jinsi Hospitali ya Benjamin Mkapa Ilivyobadilisha Huduma za Kibingwa Tanzania

from MAELEZO PODCASTS

Send us Fan MailHospitali ya Benjamin Mkapa ni hospitali ya rufaa ya kanda iliyopo jijini Dodoma, iliyoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa ambazo kwa sasa zipo 20 na ubingwa bobezi zipo 17 kwa wananchi wa Tanzania na nchi jirani. Tangu kuanza kutoa huduma zake, hospitali hiyo imeendelea kukua kwa kasi na kuwa miongoni mwa vituo vinavyoongoza nchini katika huduma za matibabu ya moyo, figo, saratani, upasuaji mkubwa pamoja na huduma za kisasa za uchujaji damu na upandikizaji wa figo. Aidha, hospitali imejizatiti katika kukuza utalii wa matibabu na mafunzo ya kitaalamu, huku ikitoa huduma kwa mamilioni ya wananchi kila mwaka. Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jun 4, 2026

Embed this episode

Ready to play

Miaka 10 ya BMH: Jinsi Hospitali ya Benjamin Mkapa Ilivyobadilisha Huduma za Kibingwa Tanzania

0:00 44:42

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of MAELEZO PODCASTS?

This episode is 44 minutes long.

When was this MAELEZO PODCASTS episode published?

This episode was published on June 4, 2026.

Can I download this MAELEZO PODCASTS episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!