Michuano ya kombe la dunia, hali ya Ebola kwenye ukanda episode artwork

EPISODE · Jun 13, 2026

Michuano ya kombe la dunia, hali ya Ebola kwenye ukanda

from Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · host RFI Kiswahili

Ni wiki ambayo imegubikwa na maandamano kadhaa nchini huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, huko Nanyuki nchini Kenya, na watu kutoka nchi kadhaa za Afrika kuihama Afrika Kusini kutokana na ongezeko la chuki dhidi ya wageni, lakini kubwa kabisa wiki hii lililotikisa ulimwengu ni michuano ya kombe la dunia ya mwaka wa 2026 iliyong’oa nanga huko Marekani, Mexico na Canada, bila kuisahau ziara ya Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Leo wa Kumi na nne huko Uhispania.-Naitwa Ruben Lukumbuka, 

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jun 13, 2026

Embed this episode

NOW PLAYING

Michuano ya kombe la dunia, hali ya Ebola kwenye ukanda

0:00 0:00

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

Frequently Asked Questions

When was this Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episode published?

This episode was published on June 13, 2026.

Can I download this Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!