Skip to content
MIPANGO episode artwork

EPISODE · Oct 25, 2023 · 1 MIN

MIPANGO

from H.W PODCAST - Positive Vibes! · host Hub of Wisdom inc.

Watu wengi hudhani kuwa wakipata fedha nyingi ndio watafanya mambo fulani makubwa. Lakini ukweli ni kwamba wengi hawana umadhubuti wa matarajio yao, yapo hewani tu. Fuatilia mtiririko wa episode hizi kwa katika YouTube: H.W TV na Podcast: H.W PODCAST kila wiki. Maoni yako ni muhimu na atunayathamini sana, hivyo tuma ujumbe wako wa sauti kwa njia ya WhatsApp nasi tutaumbatanisha katika toleo lijalo au tuandikie kupitia 0753825794 au barua pepe [email protected]. Tembelea www.hubofwisdom.com/media kufahamu zaidi kuhusu program zetu na kuwa sehemu ya jamii hii. Tunapenda sana ukisikiliza, lakini tunapenda zaidi ukifanya. Kwahiyo fanya zaidi na uwe zaidi. Cheers!

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Oct 25, 2023

Embed this episode

Ready to play

MIPANGO

0:00 1:28

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of H.W PODCAST - Positive Vibes!?

This episode is 1 minute long.

When was this H.W PODCAST - Positive Vibes! episode published?

This episode was published on October 25, 2023.

Can I download this H.W PODCAST - Positive Vibes! episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!