Mshindi wa tuzo ya UNFPA aelezea linalopaswa kufanyika kutokomeza fistula ya uzazi ifikapo 2030 episode artwork

EPISODE · Jul 9, 2026 · 2 MIN

Mshindi wa tuzo ya UNFPA aelezea linalopaswa kufanyika kutokomeza fistula ya uzazi ifikapo 2030

from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Assumpta Massoi

Profesa Serigne Gueye, daktari bingwa wa mfumo wa njia ya haja ndogo  kutoka Senegal na mmoja wa wataalamu mashuhuri duniani wa matibabu ya fistula ya uzazi, amesema kutokomeza tatizo hilo kunategemea kuimarishwa kwa mifumo ya huduma za afya ya uzazi na kuhakikisha kila mwanamke anapata huduma za dharura za uzazi kwa wakati. Assumpta Massoi na taarifa zaidi.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 9, 2026

Embed this episode

Ready to play

Mshindi wa tuzo ya UNFPA aelezea linalopaswa kufanyika kutokomeza fistula ya uzazi ifikapo 2030

0:00 2:25

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu?

This episode is 2 minutes long.

When was this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode published?

This episode was published on July 9, 2026.

Can I download this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!