EPISODE · Feb 23, 2026
Ndayishimiye ndiye mwenyekiti mpya wa AU, ujumbe wa EU wazuru mashariki ya DRC
from Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · host RFI Kiswahili
Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU) mwaka 2026, ziara ya ujumbe wa Umoja wa Ulaya huko DRC, vijana wa Afrika wahadaiwa kupewa kazi nzuri Urusi, na kulazimishwa kupigana vita Ukraine, raia 18 wa Senegal na mmoja kutoka Ufaransa wahukumiwa kwa kuzua fujo wakati wa mechi ya fainali AFCON jijini Rabat. Mkutano wa kimataifa kati ya India na Ufaransa kuhusu akili mnemba, pia tishio la Trump kuishambulia Iran
Embed this episode
NOW PLAYING
Ndayishimiye ndiye mwenyekiti mpya wa AU, ujumbe wa EU wazuru mashariki ya DRC
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.