Nimesahau yaliyopita na naganga yajayo baada ya kuuawa kwa baba yangu - Rwibutso episode artwork

EPISODE · Apr 29, 2026 · 2 MIN

Nimesahau yaliyopita na naganga yajayo baada ya kuuawa kwa baba yangu - Rwibutso

from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Eugene Uwimana

Siku 100 za maombelezo ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda dhidi ya Watutsi yaliyofanyika yapata miaka 32 iliyopita zikiendelea . Leo tunakupeleka mjini Kigali nchini Rwanda kwenye Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini humo kwake Eugene Uwimana afisa habari wa ofisi hiyo ili kupata simulizi ya ya kijana anayemuenzi baba yake aliyekuwa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa ambaye aliuawa katika mauaji hayo ya kimbari. Jina la baba huyo ni Emmanuel Turatsinze

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Apr 29, 2026

Embed this episode

Ready to play

Nimesahau yaliyopita na naganga yajayo baada ya kuuawa kwa baba yangu - Rwibutso

0:00 2:51

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu?

This episode is 2 minutes long.

When was this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode published?

This episode was published on April 29, 2026.

Can I download this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!