On-Stage Dopamine: Maisha Baada ya Applause episode artwork

EPISODE · Jul 24, 2026 · 27 MIN

On-Stage Dopamine: Maisha Baada ya Applause

from Tikvah's Podcast

Send us Fan MailDESCRIPTIONNi nini kinatokea baada ya lights kuzimwa, microphone kuwekwa chini, na crowd kuondoka?Katika kipindi hiki cha Tikvah Podcast, tunazungumzia upande ambao mara nyingi hauonekani wa public praise—pressure ya ku-maintain image, kutafuta validation, na kutegemea applause ili kujisikia valuable.Tunaangalia jinsi stage, social media, influence na public recognition vinaweza kuwa tools nzuri, lakini pia vinaweza kuanza kuchukua nafasi ya identity yetu.Je, unaweza bado kujua wewe ni nani bila title, followers, applause au spotlight?Kipindi hiki ni reminder kwamba identity yetu haipo kwenye performance, success au public image, bali ndani ya Kristo.Your gift may put you on stage, but the stage should never define who you are.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 24, 2026

Embed this episode

Send us Fan Mail DESCRIPTION Ni nini kinatokea baada ya lights kuzimwa, microphone kuwekwa chini, na crowd kuondoka? Katika kipindi hiki cha Tikvah Podcast, tunazungumzia upande ambao mara nyingi hauonekani wa public praise—pressure ya ku-maintain image, kutafuta validation, na kutegemea applause ili kujisikia valuable. Tunaangalia jinsi stage, social media, influence na public recognition vinaweza kuwa tools nzuri, lakini pia vinaweza kuanza kuchukua nafasi ya identity yetu. Je, unaweza bado...

Distinct summary based on available episode metadata or transcript content.

NOW PLAYING

On-Stage Dopamine: Maisha Baada ya Applause

0:00 27:21

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Tikvah's Podcast?

This episode is 27 minutes long.

When was this Tikvah's Podcast episode published?

This episode was published on July 24, 2026.

Can I download this Tikvah's Podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!