EPISODE · Jan 25, 2024 · 16 MIN
Sauti ya Hekima
from Amedeus Live Podcast · host Amedeus D. Raphael
1 Je! Hekima halii? Ufahamu hatoi sauti yake? 2 Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo. 8 Maneno yote ya kinywa changu yana haki; Hapana hata neno lililopotoka au la ukaidi. Igundue sauti ya Hekima, ifuuate, itii na utembee kwenye ustawi, mafanikio, ushindi na ubora tele. Katika toleo la leo Kuna Maombi maalumu kwa yeyote mwenye mgonjwa wa Figo! Pokea uponyaji leo na sambaza uponyaji kwa maelfu wanaohitaji.
Embed this episode
Ready to play
Sauti ya Hekima
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.