Sehemu ya Kumi episode artwork

EPISODE · Aug 13, 2020 · 15 MIN

Sehemu ya Kumi

from ONGEA · host ONGEA

Mambo vipi rafiki? Karibu kusikiliza sehenu ya kumi ya kipindi cha redio cha tamthilia ya ONGEA. ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia. ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika tofauti tofauti) wenye Umri wa rika balehe kati ya miaka 15-19 Pamoja na Wazazi/walezi wao. Vipindi hivi vya Ongea vimeandaliwa na Tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti ukimwi Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na UNICEF, pamoja na wadau wengine. Kipindi cha ONGEA Kinawafikishia vijana taarifa sahihi, Ujumbe sahihi kuhusu VVU/UKIMWI, Afya ya Uzazi, Lishe bora, Stadi za Maisha , Usafi wa Hedhi na Mimba za utotoni. Usipitwe na uhondo huu. Ungana nasi katika mitandao ya kijamii Instagram: https://www.instagram.com/ongearadioprogramme/ Twitter: https://twitter.com/ongea_radio Facebook: https://web.facebook.com/OngeaRadioProgramme/ TikTok: https://vm.tiktok.com/JjgBxXp/  WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/ICZUIJg4qxRFGCIqOZ8RSs #ONGEA #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYako

NOW PLAYING

Sehemu ya Kumi

0:00 15:39

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of ONGEA?

This episode is 15 minutes long.

When was this ONGEA episode published?

This episode was published on August 13, 2020.

What is this episode about?

Mambo vipi rafiki? Karibu kusikiliza sehenu ya kumi ya kipindi cha redio cha tamthilia ya ONGEA. ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia. ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika...

Can I download this ONGEA episode?

Yes, you can download this episode by clicking the download button on the episode player, or subscribe to the podcast in your preferred podcast app for automatic downloads.
URL copied to clipboard!