EPISODE · Dec 16, 2020 · 16 MIN
Sehemu ya Thelathini na Sita (Mwisho)
from ONGEA · host ONGEA
Mambo vipi rafiki? Karibu kusikiliza sehemu ya thelathini na sita ya kipindi cha ONGEA. ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia. ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika tofauti tofauti) wenye Umri wa rika balehe kati ya miaka 15-19 Pamoja na Wazazi/walezi wao. Vipindi hivi vya Ongea vimeandaliwa na Tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti ukimwi Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na UNICEF, pamoja na wadau wengine. Kipindi cha ONGEA Kinawafikishia vijana taarifa sahihi, Ujumbe sahihi kuhusu VVU/UKIMWI, Afya ya Uzazi, Lishe bora, Stadi za Maisha , Usafi wa Hedhi na Mimba za utotoni. Usipitwe na uhondo huu. Ungana nasi katika mitandao ya kijamii Instagram: https://www.instagram.com/ongearadioprogramme/ Twitter:https://twitter.com/ONGEA_Radio Facebook: https://web.facebook.com/OngeaRadioProgramme/ TikTok: https://vm.tiktok.com/JjgBxXp/ WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/ICZUIJg4qxRFGCIqOZ8RSs KUMBUKA: #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYako
What this episode covers

NOW PLAYING
Sehemu ya Thelathini na Sita (Mwisho)
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Jun 19, 2026 ·10m
Jun 18, 2026 ·10m
Jun 17, 2026 ·10m
Jun 16, 2026 ·10m
Jun 15, 2026 ·10m
Jun 13, 2026 ·10m