Sehemu ya Thelathini na Tano episode artwork

EPISODE · Dec 16, 2020 · 16 MIN

Sehemu ya Thelathini na Tano

from ONGEA · host ONGEA

Mambo vipi rafiki? Karibu kusikiliza sehemu ya thelathini na tano ya kipindi cha ONGEA. ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia.  ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika tofauti tofauti) wenye Umri wa rika balehe kati ya miaka 15-19 Pamoja na Wazazi/walezi wao.  Vipindi hivi vya Ongea vimeandaliwa na Tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti ukimwi Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na UNICEF, pamoja na wadau wengine.  Kipindi cha ONGEA Kinawafikishia vijana taarifa sahihi, Ujumbe sahihi kuhusu VVU/UKIMWI, Afya ya Uzazi, Lishe bora, Stadi za Maisha , Usafi wa Hedhi na Mimba za utotoni. Usipitwe na uhondo huu. Ungana nasi katika mitandao ya kijamii Instagram: https://www.instagram.com/ongearadioprogramme/ Twitter:https://twitter.com/ONGEA_Radio Facebook: https://web.facebook.com/OngeaRadioProgramme/ TikTok: https://vm.tiktok.com/JjgBxXp/  WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/ICZUIJg4qxRFGCIqOZ8RSs KUMBUKA: #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYako

NOW PLAYING

Sehemu ya Thelathini na Tano

0:00 16:31

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of ONGEA?

This episode is 16 minutes long.

When was this ONGEA episode published?

This episode was published on December 16, 2020.

What is this episode about?

Mambo vipi rafiki? Karibu kusikiliza sehemu ya thelathini na tano ya kipindi cha ONGEA. ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia.  ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika...

Can I download this ONGEA episode?

Yes, you can download this episode by clicking the download button on the episode player, or subscribe to the podcast in your preferred podcast app for automatic downloads.
URL copied to clipboard!