Skip to content
Semina ya wanaume Kawe 2019 episode artwork

Jul 9, 2021 10 min

Semina ya wanaume Kawe 2019

from Ni Salama Hosted by Christopher Mwakasege, Mwakasege

Somo hili si mali ya Ni Salama bali ni mali ya Christopher nad Diana Mwakasege. Kupata somo hili na mengine tafadhali wasiliana nao kupitia njia zilizopo hapo chini. Hili somo na mengine yaliyowekwa kwenye podcast hii hayana nia ya kupata pesa bali kwa kujisogeza karibu na Mungu kwa njia ya mafundisho kama hili unalosikiliza. Kwa sadaka na shukurani tafadhali ziwasilishe kwa huduma ya Mana, namba ziko kwenye masomo yanayoendelea. JINSI YA KUPATA MASOMO HAYA NA MENGINE MENGI KWA NJIA YA VITABU, KANDA, CDs & DVDs. Unaweza kutoa oda na ukatumiwa mafundisho hayo popote ulipo, kwa kupiga simu kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni kwenye namba zifuatazo: *1. Kwa walioko Arusha na maeneo mengine yote Tanzania wasiliana na Lucy: +255 736 501 081, au fika ofisi za MANA Arusha iliyoko eneo hili 👉🏼goo.gl/VQSmeB* 2. Kwa walioko Dar es Salaam na maeneo mengine yote Tanzania wasiliana na Dinna: +255 739 501 081 au fika ofisi za MANA Dar zilizo karibu na Posta ya Zamani, Jengo la Luther House, Ghorofa ya Tatu. Pia unaweza kutuandikia kwa EMAIL/BARUA PEPE: [email protected] Kwa maeneo mengine, unaweza kupata mafundisho mbali mbali moja kwa moja wakati wa kongamano au semina itakapofanyika kwenye mkoa/maeneo husika kwa kufika kwenye BANDA la VITABU, KANDA, CDs & DVDs pale UWANJANI na pia kutoa order na ukatengenezewa. (WAKATI WA SEMINA). https://goo.gl/JAGBSN UBARIKIWE SANA www.mwakasege.org

Episode details come from the podcast's RSS feed.

Embed this episode

Semina ya wanaume 2019, semina hii ilifanyika kwa siku mbili ikiwa na kichwa kinasoma " Faida za wanaume za kuomba ka lugha kwa muda mrefu"

Ready to play

Semina ya wanaume Kawe 2019

0:00 10:02

No transcript yet.

Requests help us decide what to transcribe next.

Frequently asked questions

How long is this episode of Ni Salama?

This episode is 10 minutes long.

When was this Ni Salama episode published?

This episode was published on July 9, 2021.

Can I download this Ni Salama episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.