PODCAST · religion
Ni Salama
by Adrian Nzamba
Ni salama rohoni mwangu ni Podcast inayokusaidia kuboresha mahusiano yako na Mungu kupitia mafundisho mbalimbali yanayotolewa na wahubiri, walimu na wachungaji kiganjani mwako. Tunakusaidia kuweza kuanza siku vyema ukiwa na neno la mungu kama taa itakayokuwa ikikuongoza katika shughuli zako za kila siku. Kupitia Ni Salama tutakuletea mafunzo na masomo yatakayokuwezesha kuelewa zaidi neno la Mungu linalopatikana kwenye Biblia huku tukikuongezea hamu na mvuto wa kuisoma Biblia yako. Karibu
Episodes
-
Semina ya wanaume Kawe 2019: 29
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 28
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 27
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 26
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 25
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 24
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 23
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 22
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 21
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 20
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 19
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 18
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 17
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 16
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 15
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 14
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 13
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 12
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 11
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 10
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS)…
more -
Semina ya wanaume Kawe 2019: 9

Semina ya wanaume Kawe 2019: 8

Semina ya wanaume Kawe 2019: 7

Semina ya wanaume Kawe 2019: 6

Semina ya wanaume Kawe 2019: 5

Semina ya wanaume Kawe 2019: 4

Semina ya wanaume Kawe 2019: 3

Semina ya wanaume Kawe 2019: 2

Semina ya wanaume Kawe 2019
Somo hili si mali ya Ni Salama bali ni mali ya Christopher nad Diana Mwakasege. Kupata somo hili na mengine tafadhali wasiliana nao kupitia njia zilizopo hapo chini. Hili somo na mengine yaliyowekwa kwenye podcast hii hayana nia ya kupata pesa bali kwa kujisogeza karibu na Mungu kwa njia ya...
-
Namna ya kujiandaa kukikabili kipindi hiki cha siku za mwisho (Sehemu ya tatu)
Tutakusanyika mbele za Bwana tutaimba na kushangilia. Kama Yesu asingekufa msalabani safari yake ingekuwa bure. Maana angeishia kuponya watu na ingekuwa bure tu. Kama asingekufa na akafufuka ingekuwa shida sana. Biblia inasema ulitokea ubishi juu ya kiama ya wafu ule ubishi ulileta mtengano…
more -
Namna ya kujiandaa kukikabili kipindi hiki cha siku za mwisho (Sehemu ya pili)
Katika siku hizi za mwisho ambazo Yesu anakaribia kurudi dunia lazima ijue, mkubwa kwa mdogo lazima wajue kwamba kurudi kwa Bwana kumekaribia. Biblia inasema na watakatifu na wazidi kujitakasa, wanaofanya kazi ya Mungu na wafanye upesi maana Roho pamoja na malaika na watumishi wanasema njoo…
more -
Namna ya kujiandaa kukikabili kipindi hiki cha siku za mwisho
Na Biblia inasema Yesu siku za mwisho hatakuja hapa duniani, kwa sababu maandiko yanasema kile kiti cha enzi kikubwa cheupe, kiti cha hukumu dunia itakimbia na mbingu zitakimbia na kwa sababu hiyo hicho kiti hakitakuwa duniani kwa sababu dunia itakimbia na mbingu zitakimbia. Biblia inasema...
-
Kama huna uhakika Yesu akikuita muda huu huna uhakika hakikisha leo unaokoka
Kama huna uhakika Yesu akikuita muda huu huna uhakika hakikisha leo unaokoka Wakati fulani tulisafiri na mzungu mmoja alikuwa ni mjerumani toka Arusha kwenda Dar es salaam. Aliombewa lift na mwenzake ili tusafiri naye, tukamuuliza je umeokoka akasema hapana. Yeye anamuabudu shetani na anatoka...
-
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Nne)
Tunapozungumza juu ya kumtumikia Mungu watu wengi sana hufikiria watu wachache tu yaani wahubiri, wachungaji, wainjilisti au wanaofanya kazi kanisani. Lakini kwenye Biblia inasema kila kiungo katika mwili wa Kristo kina nafasi yake na kazi yake kwa hiyo ni mtumishi wa Mungu. Inawezekana…
more -
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Pili)
KUMWAMINI MUNGU KWA KUMFUATA/KUPITIA KWA YESU KRISTO. Ukisoma Luka 8:12 “Wale wa karibu na njia ndio wasikiao, kisha huja Ibilisi akaliondoa hilo neno mioyoni mwao, wasije wakaamini na kuokoka.” Pia Warumi 1:28 “Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili…
more -
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Kwanza)
KUMWAMINI MUNGU KWA KUMFUATA/KUPITIA KWA YESU KRISTO. Hapa nilitaka uone katika ule mji Yesu alimpata mtu mmoja tu kwa lugha ya sasa tungesema “kwenye safari ya Yesu kuingia gharama ya kuvuka na boti kwenda kule na kufanya huduma alimpata mtu mmoja tu kwenye ule mji, na tofauti yao ilikuwa kwenye...
-
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Tatu)
Kwa hiyo tangu wakati ule kuna vitu ambavyo alivyokuwa anafanya moja kwa moja vinazaa tena mfano wa kile kitu alichobeba. Sasa unaweza ukaelewa kwa nini katika kipindi hiki cha Agano jipya ni lazima tuzaliwe kwa mara ya pili. Maandiko yanatuambia ndani yake tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai…
more -
Tufanye maombi na kuombea akili zetu na kutuondoa katika kushikwa na shetani! Omba sasa
Baada ya sala na mafundisho ya Mwalimu Christopher Mwakasege changia huduma ya Mana Ministries iweze kuendelea, kukua na kufikia watu wengi zaidi ndani na nje ya nchi. NAMNA YA KUPATA KANDA, CDs & DVDs BONYEZA HAPA 👉🏼 https://goo.gl/xrSwmN NAMBA ZA SADAKA NA MAOMBI 👉🏼 https://goo.gl/7XcFiP...
-
Weka akiba mapema ikusaidie pale utakapo staafu
Maana akili zako zinakuwa zimebanwa kabisa unapata pesa na unazitumia kienyeji kienyeji tu. Ili uweze kuelewa tafuta watu waliostaafu. Wengi sana wana maisha mabaya na ni wachache sana wana maisha mazuri, kwa sababu wengine walikuwa na maisha mazuri sana walipokuwa kazini. Walikuwa na magari na...
-
Kutumia Ubongo na akili kufanya maamuzi ya chanzo na matumizi ya pesa zako
UBONGO UNATAKIWA UKUSAIDIE KUWA NA MIPANGO YA KUPATA PESA LAKINI AKILI INATAKIWA ZIKUSAIDIE KUAMUA JUU YA CHANZO CHA KUPATA PESA NA KUAMUA MATUMIZI YA PESA HIZO Kazi mojawapo ya akili ni kutusaidia kupambanua mema na mabaya kwa jinsi ya Ki-Mungu ili tuweze kuchagua mema na kuacha mabaya. Biblia...
-
Jifunze kukaa na mkeo kwa akili na si kiroho, jifunze sasa!
Biblia haisemi wanaume tukae na wake zetu kiroho, kwa hiyo usijaribu kukaa na mke wako kiroho, kaa nae kwa akili. Ndani ya akili hizo Mungu atakupa neema ya kumsaidia kumpa heshima anayostahili. Lakini kuona ile nafasi kwa jinsi ya mwili ni chombo kisichokuwa na nguvu lakini katika ulimwengu wa...
-
Ubongo unaona matatizo akili inaona fursa kwenye hayo matatizo
1 Mambo ya Nyakati 12:32 “Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.” Nataka uone hapa anaposema walikuwa watu wenye akili za kujua nyakati na kitu cha kufanya...
-
Sio swala la kuishi maisha marefu, ni swala la kuishi kwenye mapenzi ya Mungu
Unaweza ukawa unafurahia biashara uliyonayo na kufikiri kwamba umefika lakini Mungu ana kitu kikubwa kuliko unachofikiri. Ila hujajua kwamba huko ndani yako kuna kitu gani kimekaa na kwanini ndani yako unaona ndoto kubwa au unaona hujaridhika mahali ulipo kumbe Mungu anajaribu kukusukuma...
-
Haijalishi unapitia hali gani na upo kwenye kipindi gani, Mungu yuko pamoja nawe
Mtu aliyekuwa anatakiwa kwenye hii nafasi alitakiwa awe ana akili ya miaka 14 kusaidia Misri na nchi za jirani. Alitakiwa awe ana hekima pamoja na Roho wa Mungu ili kuweza kukamilisha jukumu hilo. Yusufu aligundua kuna kitu Farao alitakiwa akitolee nafasi (position) kwa sababu anaweza patikana…
more -
Akili za mwanadamu zingekuwaje kama tusingepitia dhambi, ungekuwa wapi sasa?
Jana tuliangalia kikwazo cha kwanza ni AKILI KUFUNGWA NA SHETANI na tukaangalia kwenye kile kitabu cha Luka 8:26 - 39 tukaangalia kwa undani pamoja na mistari mingine na maelezo kwa undani. Saa nyingine huwa nawaza sana namna akili ya mwanadamu ilivyo na ambavyo inafanya mambo makubwa je kama...
-
Tumia sala hii kuachilia Damu ya Yesu ifungue akili yako
Weka mikono yako juu ya kichwa ili tufanye maombi ambayo Mungu atafuatilia muunganiko wa ubongo wako na akili zako. Kama kuna mapepo katika akili zako yataachia tu kwa jina la Yesu. Omba Mungu aponye akili zako na kuweka huo muunganiko vizuri kwa Damu ya Yesu. Nyunyiza Damu ya Yesu juu yako. Pia...
-
Uko mahali kwenye maisha yako kila kitu kimesimama, Yesu anakutafuta
Hii unaweza ukasikia mtu akisema “nimemlea huyu mtoto nikifikiri akili anazo kumbe hana”. Ukishasikia lugha ya nmna hiyo ina maana akili hazifanyi kazi inayotakiwa kwa sababu hamna mtu ambaye hana akili ila kuna namna zimebanwa. Sasa angalia yule kijana wa nchi ya Wagerasi kila mtu alikuwa…
more -
Unapookoka neno la mungu huanza kushughulikia akili zako
1 Petro 2:1-2 “Basi, wekeni mbali uovu wote na hila yote, na unafiki na husuda na masingizio yote. Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu;” Hakusema maziwa ya Roho amesema maziwa ya akili, Neno la Mungu unalopewa...
-
Nafsi na mwili viliumbwa vimilikiwe na roho
NAFSI NA MWILI VILIUMBWA VIMILIKIWE NA ROHO Zaburi 63:1 “Ee MUNGU, Mungu wangu, nitakutafuta mapema, Nafsi yangu inakuonea kiu, Mwili wangu wakuonea shauku, Katika nchi kame na uchovu, isiyo na maji.” Mwandishi anamwambia Mungu, “Mungu wangu nitakutafuta mapema”, anaposema nitakutafuta ni roho ya...
-
Akili kufungwa na shetani ili usifikie malengo yako
AKILI KUFUNGWA NA SHETANI. Luka 8:26-39 “Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya. Naye aliposhuka pwani, alikutana na mtu mmoja wa mji ule, mwenye pepo, hakuvaa nguo siku nyingi, wala hakukaa nyumbani, ila makaburini. Alipomwona Yesu alipiga kelele, akaanguka mbele yake…
more
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
Ni salama rohoni mwangu ni Podcast inayokusaidia kuboresha mahusiano yako na Mungu kupitia mafundisho mbalimbali yanayotolewa na wahubiri, walimu na wachungaji kiganjani mwako. Tunakusaidia kuweza kuanza siku vyema ukiwa na neno la mungu kama taa itakayokuwa ikikuongoza katika shughuli zako za kila siku. Kupitia Ni Salama tutakuletea mafunzo na masomo yatakayokuwezesha kuelewa zaidi neno la Mungu linalopatikana kwenye Biblia huku tukikuongezea hamu na mvuto wa kuisoma Biblia yako. Karibu
HOSTED BY
Adrian Nzamba
CATEGORIES
Loading similar podcasts...