Skip to content
Serikali nchini Uganda inatumia Mahakama kuwanyanyasa wapinzani ? episode artwork

EPISODE · Jun 24, 2026

Serikali nchini Uganda inatumia Mahakama kuwanyanyasa wapinzani ?

from Wimbi la Siasa · host RFI Kiswahili

Nchini Uganda, mwanasiasa wa upinzani na Meya wa zamani wa jiji la Kampala Erias Lukwago anakabiliwa na mashtaka ya uhaini. Alikamatwa nyumbani kwake na wanajeshi kwa agizo la Mkuu wa Majeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba na kuzuiwa kabla ya kufikishwa Mahakamani. Wiki hii, mwanasiasa mashuhuri na wakili wa Besigye Martha Karua kutoka nchini Kenya, alizuiwa kuingia nchini Uganda na kufukuzwa nchini humo, na sasa serikali ya Uganda imempiga marufuku kurejea nchini humo. Tunachambua.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jun 24, 2026

Embed this episode

Ready to play

Serikali nchini Uganda inatumia Mahakama kuwanyanyasa wapinzani ?

0:00 0:00

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

When was this Wimbi la Siasa episode published?

This episode was published on June 24, 2026.

Can I download this Wimbi la Siasa episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!