EPISODE · Jun 1, 2026 · 21 MIN
SITAPUNGUKIWA NA KITU
from 29 - APRIL - 2026
Zaburi 231 Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.2 Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.6 Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Embed this episode
NOW PLAYING
SITAPUNGUKIWA NA KITU
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.