Taarifa ya Habari:"Sheria tata za mageuzi ya kodi zitawafaidi watu wengi" asema Mweka Hazina wa Shirikisho episode artwork

EPISODE · Jun 26, 2026 · 12 MIN

Taarifa ya Habari:"Sheria tata za mageuzi ya kodi zitawafaidi watu wengi" asema Mweka Hazina wa Shirikisho

from SBS Swahili - SBS Swahili

Mweka Hazina wa Shirikisho Jim Chalmers anasema wafanyakazi, wanunuzi wa nyumba za kwanza na vizazi vijavyo watafaidika na sheria zenye utata za mageuzi ya kodi ambazo zimepitishwa hivi karibuni bungeni.Polisi warusha mabomu ya kutoa machozi dhidi ya waandamanaji katika maeneo mbalimbali mjini Nairobi huku makundi yanayoongozwa na vijana yakikumbuka miaka miwili tangu maandamano ya Gen Z. Watu kadhaa wametiwa nguvuni kufuatia maandamano hayo. Mawingu mazito ya moshi yalitanda angani huku umati wa watu ukikimbia kujinusuru, wengi wao wakifunika nyuso zao kutokana na harufu kali na madhara ya gesi hiyo.Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jun 26, 2026

Embed this episode

Ready to play

Taarifa ya Habari:"Sheria tata za mageuzi ya kodi zitawafaidi watu wengi" asema Mweka Hazina wa Shirikisho

0:00 12:37

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of SBS Swahili - SBS Swahili?

This episode is 12 minutes long.

When was this SBS Swahili - SBS Swahili episode published?

This episode was published on June 26, 2026.

Can I download this SBS Swahili - SBS Swahili episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!