EPISODE · Jul 23, 2023 · 3H 33M
Touch not my anointed( usiguse mpakwa mafuta wangu)
from Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) · host Francis Kessy
Anointing/upako ni nguvu ya Mungu itendayo kazi!binadamu wote tunabaki kuwa sawa ili kinachotufautisha ni upako(anointing).ili uweze kufanikiwa kwenye kazi uliyopewa hapa ulimwenguni ni lazima uwe na upako!Upako ni ulinzi,kwenye episode hii utajifunza na kuongozwa namna utakavyoweza kupata upako na jinsi maisha yako yatakavyobadilika na kua na manufaa!Kama bado hujaanza kugusa maisha ya watu bado hujaanza kuishi maisha!
Embed this episode
NOW PLAYING
Touch not my anointed( usiguse mpakwa mafuta wangu)
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.