Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) podcast artwork

PODCAST · religion

Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu)

Je, umewahi kujikuta ukitafuta majibu, kutafuta mwongozo, au kujiuliza ikiwa kuna jambo jipya zaidi? Itakuwaje nikikuambia kwamba majibu unayotafuta yanakungoja mahali ambapo hupadhanii kabisa - kwenye Biblia? Karibu kwenye Qaval Hearing Gods Voice, podicast ambayo itakupeleka kwenye safari ya mageuzi ili kuelewa na kupata uzoefu wa mafundisho ya Mungu kuliko hapo awali.

  1. 0

    CONTROL ROOM DAY 5:PRAYER & PROPHETIC

    Share your testimonies with us through whatsapp +255 712074 435

  2. -1

    CONTROL ROOM DAY 4:PRAYERS & PROPHETIC( Mungu anatumia ndoto kuongea na destiny helpers)

    Watu wanaweza kukupuuzia as if hauonekani, but believe me theres a God called the father of all spirits , He can walk to any spirit at night in the dream na akampa maelekezo juu ya nini cha kufanya!

  3. -2

    CONTROL ROOM DAY 3:PRAYERS & PROPHETIC(Nguvu ya ulimi)

    Tumia vizuri ulimi wako, maana umebeba nguvu mbili, uhai na kifo! Stop cursing yourself and the people around you!your current situation ni matokeo ya maneno uliyoongea jana!

  4. -3
  5. -4

    CONTROL ROOM DAY 1:PRAYERS AND PROPHETIC(THE WORD OF THE MONTH -FEB)

    Mwezi wa pili ni mwezi wa kutoka(The month of going out) ! Things must change in your life! The prophetic word is a weapon , it becomes ineffective kama hutotumia the word kwenye maisha yako, tumia neno la kinabii kupataa matokeo! Be blessed and would love to hear you testimonies text us your testimonies via 0712074435 (whatsapp) !SHALOM

  6. -5

    THE BLESSINGS OF THE EARTH(warfare prayers)

    “*NCHI IKAMSAIDIA* mwanamke; nchi ikafunua kinywa chake, ikaumeza mto ule alioutoa yule joka katika kinywa chake.” ‭‭Ufu‬ ‭12‬:‭16‬ ‭SUV‬‬ As long as tunaishi duniani, dunia inauwezo wa kutusaidia in every aspect!Biblically dunia ilimsaidia mtu na inaskia, Ndani ya episode hii utajifunza jinsi ya kuicommand dunia ikusaidie!

  7. -6

    Touch not my anointed( usiguse mpakwa mafuta wangu)

    Anointing/upako ni nguvu ya Mungu itendayo kazi!binadamu wote tunabaki kuwa sawa ili kinachotufautisha ni upako(anointing).ili uweze kufanikiwa kwenye kazi uliyopewa hapa ulimwenguni ni lazima uwe na upako!Upako ni ulinzi,kwenye episode hii utajifunza na kuongozwa namna utakavyoweza kupata upako na jinsi maisha yako yatakavyobadilika na kua na manufaa!Kama bado hujaanza kugusa maisha ya watu bado hujaanza kuishi maisha!

  8. -7

    Open doors

    Malango ni njia inayotumiwa na Mungu kuleta ama ku access mtu akiwa kwenye ulimwengu huu, milango inapokua inafungwa baraka zinabaki mlango bila kukufikia!Kwenye hii podcast utafunguka na kuelewa juu ya siri ya malango na kukuongoza katika maombi ambayo yatabadilisha maisha yako!

  9. -8

    Njia ya kutoka kwenye uteja(How to get out of addiction)

    Kumekua na wimbi kubwa la uteja hasa kwa vijana(addiction),imewafanya vijana wengi kupoteza uhuru wao ama nguvu ya kutawala!Katika hii podcast utakutana na nguvu itakayokutoa kwenye uteja uliokufunga kwa muda mrefu na kukufanya uwe huru na mwenye mamlaka kama muumbaji wako atakvyo!Muda wako ni sasa!

  10. -9

    MAHUSIANO EPISODE 1.(Ijue Njia Ya Kutumia Mahusiano Kufikia Mafanikio Utakayo)

    “IJUE NGUVU YA AJABU ILIYOWEKWA NA MUNGU KWENYE MAHUSIANO AMBAYO ITAKUFANYA UFANIKIWE KWA HALI YA JUU SANA.”

  11. -10

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Je, umewahi kujikuta ukitafuta majibu, kutafuta mwongozo, au kujiuliza ikiwa kuna jambo jipya zaidi? Itakuwaje nikikuambia kwamba majibu unayotafuta yanakungoja mahali ambapo hupadhanii kabisa - kwenye Biblia? Karibu kwenye Qaval Hearing Gods Voice, podicast ambayo itakupeleka kwenye safari ya mageuzi ili kuelewa na kupata uzoefu wa mafundisho ya Mungu kuliko hapo awali.

HOSTED BY

Francis Kessy

Frequently Asked Questions

How many episodes does Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) have?

Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) currently has 11 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) about?

Je, umewahi kujikuta ukitafuta majibu, kutafuta mwongozo, au kujiuliza ikiwa kuna jambo jipya zaidi? Itakuwaje nikikuambia kwamba majibu unayotafuta yanakungoja mahali ambapo hupadhanii kabisa - kwenye Biblia? Karibu kwenye Qaval Hearing Gods Voice, podicast ambayo itakupeleka kwenye safari ya...

How often does Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) release new episodes?

Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) has 11 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu)?

You can listen to Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu)?

Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) is created and hosted by Francis Kessy.
URL copied to clipboard!