Skip to content
Tunatembea na Hofu ya PESA episode artwork

Sep 27, 2026 1 hr 1 min

Tunatembea na Hofu ya PESA

from MSASA Podcast Hosted by Elisha Simon

Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress? Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatupa mtazamo wake kuhusu pesa akiwa upande wa ulimwengu wa banking, huku tukigusa na kujibu baadhi ya maswali ambayo sisi watu wa nje tumekuwa nayo kuhusu pesa na washika pesa. Ni mazungumzo kuhusu pesa, lakini pia ni mazungumzo kuhusu maisha yetu, namna pesa inavyogusa maisha hayo, na jinsi benki inaweza kutusaidia kupunguza hofu hiyo ya pesa. Karibu MSASANI. 🎙️ #MSASAPodcast #TunatembeaNaHofuYaPesa #EmmanuelYarediMahodanga #Pesa #Banking #MoneyTalks #FinancialWellness #MSASAPodcast Host: Hisia Instagram: / hisiatz MSASA PODCAST 🎙 Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow the MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... Available on all streaming platforms.

Episode details come from the podcast's RSS feed.

Embed this episode

Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress? Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatupa mtazamo wake kuhusu pesa akiwa upande wa ulimwengu wa banking, huku tukigusa na kujibu baa...

Ready to play

Tunatembea na Hofu ya PESA

0:00 1:01:24

No transcript yet.

Requests help us decide what to transcribe next.

Frequently asked questions

How long is this episode of MSASA Podcast?

This episode is 1 hour and 1 minute long.

When was this MSASA Podcast episode published?

This episode was published on September 27, 2026.

Can I download this MSASA Podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.