Skip to content
MSASA Podcast podcast artwork

MSASA Podcast

by Elisha Simon

KARIBU MSASA. A show where we talk to successful people about FAILURE.

From the show's RSS feed, refreshed Oct 27, 2026. Source feed.

Subscribe Bookmark

Episodes

  1. JAMII INAKUJENGA AU INAKUPOTEZA? - MSASA NA MICHAEL KAMUKULU

    Send us Fan Mail Tunakua tukiambiwa tusome, tupate kazi nzuri, tujenge maisha na tufanikiwe. Lakini kwenye safari hiyo, tunawahi kujiuliza kama tunachoendelea kukifukuzia kinaendana na sisi ni nani na kile tulichoumbiwa kufanya? Kila mmoja wetu ana uwezo fulani ndani yake. Lakini kuutambua uwezo...

  2. SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO

    Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. 📈🇹🇿 Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our economy and where we're headed? Kwenye Episode 6 ya MSASA Podcast, Imani Muhingo...

  3. UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO

    Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini nyuma ya pazia, maisha hayana script na kwa asilimia kubwa sana wote tunafanana....

  4. Tunatembea na Hofu ya PESA

    Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na...

  5. You Can Only Dream to the Level of Your Exposure

    Send us Fan Mail What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and academia into STEAM education and social entrepreneurship, building an...

  6. You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL

    Send us Fan Mail People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether. In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the usual HR conversation into the realities of people, business, and what it…

    more
  7. Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY

    Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua. Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa...

  8. Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE

    Send us Fan Mail Karibu msasani! 🎙️ Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA. Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni nini hasa? Na kwa nini maamuzi madogo tunayofanya leo yanaweza kuamua maisha yetu...

  9. Mpishi wa pilau

    Send us Fan Mail

  10. Bongo Mkononi

    Send us Fan Mail Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa Taji Liundi — “Master T”..

  11. Tatizo ni kwenye kugawana %

    Send us Fan Mail Je unapenda kula? Je wewe ni mnazi wa pilau? Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau? Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint. Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa...

  12. Baraka za Baraka

    Send us Fan Mail

  13. People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to Stop the Pain

    Send us Fan Mail Beyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress. From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa is redefining how businesses communicate, grow, and build lasting relationships through technology. But “You can’t…

    more
  14. Sina Kazi Naishi Ninavyotaka

    Send us Fan Mail Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi? Watch out new episode...

  15. Kuna Maisha kwenye Siasa

    Send us Fan Mail Msasa wa leo umeingia na boti la mapema, so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.

  16. The Entrepreneur’s Guide to Employment

    Send us Fan Mail In this episode of Msasa with Rumisho, we dive deep into leadership, integrity, teamwork, and the entrepreneurial spirit. From taking full responsibility, to building confidence as the number one salesperson in your business, Rumisho shares lessons from his own journey. 🎧 Guest:...

  17. Jinsi Ya Kuongea Na Mungu

    Send us Fan Mail This is one of those episodes that makes you sit back, listen, and reflect: What am I without God? What is my purpose am I truly living it? How do I discover it? And wait, I’m not alone in facing the everyday challenges of life. In this conversation, Lisa Ackim a Lawyer, Orphan...

  18. Conversations to conversions

    Send us Fan Mail Today we’ve got someone who knows the game inside out — Milu Kipimo. Entrepreneur and master of sales. If you’ve been running on that old playbook of tricks and fast talk — delete it. This is about trust, respect, and real human connection. 🎧 Guest: Milu Kipimo 🎙 Host: Elisha...

  19. Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio

    Send us Fan Mail Daktari wa camera mbele ya camera za Msasa , hadithi zinazopigwa humu ni maisha, kuishi , wakati , kufeli , kupanda na kushuka bila bei kushuka. Inapatikana kesho mapema kwenye digital platforms zote. #msasa #hanscana #kubeti

  20. Living with demons : A battle for control and healing

    Send us Fan Mail Join us on this episode of the #Msasapodcast as Walter Simalike introduces acceptance and realization as the ultimate step 1. #MsasaPodcast #WalterSimalike #Overindulgence #AddictionAndRecovery #FindingBalance #MentalHealthMatters

  21. Shughuli ni Watu

    Send us Fan Mail Episode hii na Seba Kolowa ni shuhuda ya jinsi kijana unavyoweza kupiga hatua kutoka ulipo, mpaka pahala pengine kwa vile ulivyonavyo na vingine vya kuvitafuta.

  22. Trust the process

    Send us Fan Mail There is clarity in chaos when you trust the process💪🏾 🎧 Join us on the #Msasapodcast for a heartfelt conversation about faith, resilience, and the beauty of surrendering to something bigger this sunday with @_TimFordJ Guest: Tim Ford…

    more
  23. Moyo unakuwaga mzito kwa mwanaume

    Send us Fan Mail This week on the #MsasaPodcast, we’re joined by the Michael Baruti of @menthepodcast We’re diving deep into the often-overlooked conversation, the struggles, the stigma, and the path to healing for men and mental health. #MenAndMentalHealth Guest: Michael Baruti...

  24. Watu wa Kariakoo waliniokoa

    Send us Fan Mail Tafuteni Popcon jamani @lamataleah ana yake ya kutupiga #Msasa🤭 Guest: LAMATA https://www.instagram.com/lamataleah/ -- Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST 🎙 : Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬 https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... For more content...

  25. From passion to profit

    Send us Fan Mail What happens when you're a creative but the hustle demands you be a businessman too? #Today we sit down with the fabulous hustler Ally Rehmtullah to unpack the chaos, the challenges, and the compromises of balancing artistry with #entrepreneurship Guest: Ally Rehmtullah...

  26. From Child to Breadwinner

    Send us Fan Mail Today, we’re thrilled to host Khalila Mbowe, also known as Kellz—a visionary social entrepreneur and the founder of Unleashed Africa. Her organization is dedicated to empowering East African youth through the arts, leadership, and entrepreneurship, providing skills and...

  27. Baharia Mwenye SWAG

    Send us Fan Mail J2 hii on the #MsasaPodcast @Mtani_bespoke AKA Fundi ,tafuta mkasi, uzi na kiwembe, maana Msasa wa leo ni wa kitambaa. Tune in to find out how @mtani_bespoke tailored a life that suits him. 🎧 Guest: Mtani Nyamakababi (Mtani Bespoke) 🎙 Host: Elisha Simon (Hisiatz) Tune in for...

  28. Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza

    Send us Fan Mail Karibu kwenye #MsasaPodcast! Tunamkaribisha Jay Moe, mkongwe mwenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu katika kuburudisha Watanzania kwa nyimbo zenye mafumbo na ujumbe mkali kupitia muziki wa rap. Tutachambua safari ya muziki na mabadiliko ya tasnia ya muziki wa Bongo toka miaka ya…

    more
  29. Furaha yako ni Jukumu Lako

    Send us Fan Mail Jiunge nasi kwenye #MsasaPodcast tunapomkaribisha Lumulike Mengele A.K.A Muli B, mfanyabiashara na DJ maarufu mwenye zaidi ya miaka 20 katika tasnia ya Bongo Flavor. Tutaangazia umuhimu wa kujitambua na nidhamu katika kufanikisha mafanikio ya muda mrefu. Usikose mazungumzo haya…

    more
  30. The Silent Loud One

    Send us Fan Mail Being #different from the your competitors isn’t enough to win the market, so what is? Leo tumemkaribisha a media buying expert akituelezea jinsi #effectivebranding inaweza kutusaidia kuboresha na kukuza #biashara zetu. #msasapodcast #effectivecampaign #marketing #mediabuying...

  31. Leave Room For Magic

    Send us Fan Mail Hakuna neno la ukweli lenye ladha ya asali, je akili yako inapokea uhalisia? Usikose madini ya vichwa vitatu kutoka H_art the band on #msasapodcast on this very #specialepisode. Dont forget to listen to their new Album "TIME"

  32. The Godfather of Comedy

    Send us Fan Mail Sometimes getting out of #comfortzone is the key to many doors that you wouldn’t have opened otherwise. Leo tumemkaribisha Godfather wa comedy Tanzania Evans Bukuku akitupa his personal experiences zenye #Msasa ndani yake that are guaranteed to leave you motivated to take on new...

  33. Oxygen is Free

    Send us Fan Mail The future of entrepreneurship in Africa it’s not just promising - it’s already unfolding na Kuna msemo wa Kiafrika unasema “Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako, ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako” Leo kwenye #Msasa tumemkaribisha an agribusiness expert and a serial...

  34. Maisha na Sauti Ya Guitar

    Send us Fan Mail Kama wewe ni msanii au unataka kuwa msanii hii episode inakuhusu, Utapata kujua uhalisia wa Sanaa and what it takes to thrive in this industry Leo tumekaribisha Grace Matata, Tanzania's beloved Afro soul singer, to share her personal insights, experiences, and wisdom gained from...

  35. Buckle up! Life is not free

    Send us Fan Mail Refuse to let life happen to you - make it happen! Join us for a raw chat with Daniella Kwayu, a serial entrepreneur, economist, agriculture enthusiast and a founder of Pherma Agri and get ready to toughen up, take charge and take up space in a world that’s anything but easy....

  36. Bobby West Goes to Town

    Send us Fan Mail When the going gets tough, the tough gets going. Kwenye hii episode Bobby anatuelezea #changamoto mbali mbali alizokutana nazo kwenye maisha yake, lessons alizojifunza na njia anazotumia ku cope na new incoming #challenges #Msasa #madini #advertising #creatives #faith #bongo...

  37. Mwanajeshi na Nyota

    Send us Fan Mail Ukiona vyaelea ujue vimeundwa - Unamjua aliyeiunda EvoNem health App? Basi leo ndo yuko #msasani akitupa the ups and downs of building a #business in today’s world. From resilience in the face of #challenges to seizing opportunities for #growth, this episode is packed with tons…

    more
  38. The Curious Case of Arthur Kyara

    Send us Fan Mail kwenye game ya biashara, lazima ujue ni nini kinapiga kazi na nini hakiendi, otherwise utakuwa unapoteza muda na pesa. Na pia kwa vyote unavyofanya Mungu ndo caption number moja. Leo tumemkaribisha the man of God ambaye pia ni mtaalam wa data kutuelezea umuhimu wa data na jinsi...

  39. Saturn's Return

    Send us Fan Mail Ulipotoka unakuja unakokwenda haukutambui - everything that happens happens for a reason/ there’s a reason behind every twist and turn in life Join us for an enlightening and laughter-filled episode featuring the one and only Deogratius, a multi-talented comedian and serial...

  40. Ukitaka kusikilizwa, sikiliza kwanza

    Send us Fan Mail Determination: the stubborn refusal to let life’s #challenges turn you into a soggy sponge On this episode, we dive into the world of resilience and #determination with Edwin Musiba, the Founder & CEO of Salt Media Co #msasapodcast #CreativeDirector #founder #creative #Tanzania...

  41. Usionyeshe Tatizo, Onyesha Suluhu

    Send us Fan Mail Care is the name of the game....join us as we talk what it takes to go above and beyond. Tune in kwenye #MsasaPodcast with Jacqueline Lawrence entrepreneur and director of @mbeyahighlandsfm , as we uncover the power of genuine care in business. #Inspiration #entrepreneurship...

  42. Kujiajiri sio kutoka

    Send us Fan Mail With freedom comes great responsibility. Jiunge nasi kwenye #msasapodcast na Tech Guru & Entrepreneur Ng’winula Kingamkono as we talk what it takes to succeed in business. Usikose Msasa Leo na Ng’winula Kingamkono Guest: Ng’winula Kingamkono #fintech #software #entrepreneurs --...

  43. Pleasure, Passion & Pain na Baba Ushauri

    Send us Fan Mail Lessons in Life are numerous ila mwisho wa siku #maamuzi ya kutisha nayo ni ya kwako. #Jikubali #YouAreEnough Karibu Kwenye #MsasaPodcast with Legendary Media & Marketing Guru & former East Africa Radio & Choice FM's "The Fix" Presenter Sebastian Mwaikambo. Guest: Sebastian "The...

  44. Mungu akitaka kukutumia hakuandikii barua

    Send us Fan Mail Kila mtu ana nafasi yake .Hata kama kwa nje wito utaonekana kufanana haina maana wito wa mtu mmoja na mwingine unafanana. Jiunge nasi leo tuki pata Msasa kwa Gwamaka Mwakalinga talking about his call to greatness. Guest: Gwamaka Mwakalinga #Musician #Worship #Leader #Songcomposer...

  45. Hatua ya kwanza ya kutoboa ni kufeli

    Send us Fan Mail Waswahili wanasema ukimpiga teke chura, unamuongezea mwendo. 🔥 Kwenye episode hii tunapata madini raw kabisa from Fredrick Bundala AKA Sky, living proof of the fruits of perseverance. Guest: Sky Instagram: https://www.instagram.com/skytanzania Simulizi na Sauti (SNS):...

  46. 'Angalia dunia kupitia lense ya uhalisia' na Kennedy Mmari , Founder of Serengeti Bytes

    Send us Fan Mail Kutofautisha ukweli na uhalisia ni kitu muhimu kwenye utafutaji, chamsingi ni utayari kuelewa karata yako umeitupia wapi. Jiunge nasi kwenye #Msasapodcast na Kennedy Mmari CEO of Serengetibytes #matarajio #biashara #halisia #storiesaboutfaliure

  47. 'Unahitaji kufanya kazi,Kupata Kazi' with Lillian Madeje, Founder of Niajiri Platform

    Send us Fan Mail Waswahili wanasemaga, ujanja kuwahi na mwenye nacho hongezewa. Je, umejiongeza mpaka wapi nawe uongezewe? Join us on this episode of #MsasaPodcast with Lillian Madeje, Entrepreneur & Founder of the Niajiri Platform as we talk Biashara na kuajiriwa. https://neiked.co.tz/msasa/

  48. Kamati Ya Kichwa with Clay, the CEO of ChekaPlus TV & Co-founder of ChekaTu.

    Send us Fan Mail We una watu wangapi kwenye Kamati yako? Exploring the Good, the Bad and the Funny, with Clay Kennedy Masiga, akitoa madini jinsi anavyo disconnect ili kuja na mizinga ya ideas, the reality of events, finding things that introduce us to the world, faith in God and leaving a mark…

    more
  49. Clarity is my Superpower with Cynthia, CEO of The Ruge Mutahaba Foundation.

    Send us Fan Mail Life is a mix of choices—some good, some bad, but all very necessary for "Character development"😉 . If you use #Clarity as your compass; it decides whether you sink or swim. Watch "CLARITY IS MY SUPER POWER" #MSASAPodcast #decisionsdecisions

  50. 'When You Fail You Wake Up' with Amin Swai ,CEO of Blanq Marketing & Communications.

    Send us Fan Mail The path to winning is a non-linear series of events. Watch as we unpack the true nature of success with Amin Swai , CEO of Blanq Marketing & Communications

About this show

KARIBU MSASA.

A show where we talk to successful people about FAILURE.

Hosted by

Elisha Simon

Frequently asked questions

How many episodes does MSASA Podcast have?

MSASA Podcast has 51 episodes on PodParley. The most recent episode was published on November 8, 2026.

What is MSASA Podcast about?

KARIBU MSASA. A show where we talk to successful people about FAILURE.

How often does MSASA Podcast release new episodes?

MSASA Podcast publishes monthly, based on its 51 episodes since December 2023.

Who hosts MSASA Podcast?

MSASA Podcast is created and hosted by Elisha Simon.
Link copied