EPISODE · Mar 2, 2026 · 3 MIN
UNFPA nchini Burundi yasaka usadizi kunusuru afya za wazazi na watoto kambini Busuma
from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Assumpta Massoi
Uhaba wa vifaa na maji safi na salama katika kambi ya muda ya wakimbizi ya Busuma iliyoko mashariki mwa Burundi umekuwa changamoto kubwa kwa wanawake wajawazito wanaojifungua kambini hapo, wakati huu ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi, (UNFPA) nchini Burundi linasema katika kipindi cha mwezi mmoja takribani watoto 200 wamezaliwa. Assumpta Massoi na taarifa zaidi.
Embed this episode
Ready to play
UNFPA nchini Burundi yasaka usadizi kunusuru afya za wazazi na watoto kambini Busuma
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.