Utangulizi episode artwork

EPISODE · Mar 18, 2020 · 1 MIN

Utangulizi

from ONGEA · host ONGEA

ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia. ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika tofauti tofauti) wenye Umri wa rika balehe kati ya miaka 15-19 Pamoja na Wazazi/walezi wao. Vipindi hivi vya Ongea vimeandaliwa na Tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti ukimwi Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na UNICEF, pamoja na wadau wengine. Kipindi cha ONGEA Kinawafikishia vijana taarifa sahihi, Ujumbe sahihi kuhusu VVU/UKIMWI, Afya ya Uzazi, Lishe bora, Stadi za Maisha , Usafi wa Hedhi na Mimba za utotoni. Usipitwe na uhondo huu. Ungana nasi katika mitandao ya kijamii Instagram: https://www.instagram.com/ongearadioprogramme/ Twitter: https://twitter.com/ongea_radio Facebook: https://web.facebook.com/OngeaRadioProgramme/ TikTok: https://vm.tiktok.com/JjgBxXp/  WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/ICZUIJg4qxRFGCIqOZ8RSs #ONGEA #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYakoHabari, Karibu kusikiliza kipindi cha tamthilia ya redio cha ONGEA.  ONGEA ni kipindi cha redio kilichoandaliwa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti UKIMWI Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na Shirika la UNICEF, pamoja na wadau wengine. ONGEA ni tamthilia ya redio inayoelezea maisha ya vijana (waliobuniwa na kupewa uhusika tofauti) wenye umri wa miaka 15-19, pamoja na walezi wao. Inalezea hadithi juu ya maamuzi yao, ndoto, urafiki, changamoto katika jamii ambapo kusitisha masomo, magonjwa ya kuambukiza (UKIMWI), mimba za utotoni, upungufu wa damu, na hedhi salama ikiwa bado ni changamoto kubwa. Kipindi cha ONGEA kinawafikishia vijana taarifa sahihi juu ya kujikinga na kudhibiti matatizo yanayohusiana na afya ya uzazi, VVU na UKIMWI, lishe bora, na unyanyasaji wa kijinsia. Ili kuwa karibu nasi unaweza Kutufatilia katika mitandao yetu ya kijamii Instagram, Twitter, Facebook, LinkedIn, Telegram, TikTok, na WhatsApp: 0621127575. #ONGEA #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYako

NOW PLAYING

Utangulizi

0:00 1:45

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of ONGEA?

This episode is 1 minute long.

When was this ONGEA episode published?

This episode was published on March 18, 2020.

What is this episode about?

ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia. ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika tofauti tofauti) wenye Umri wa rika balehe kati ya miaka 15-19 Pamoja na Wazazi/walezi...

Can I download this ONGEA episode?

Yes, you can download this episode by clicking the download button on the episode player, or subscribe to the podcast in your preferred podcast app for automatic downloads.
URL copied to clipboard!