Skip to content
Vijana nchini Kenya wanavyotumia teknolijia kuhamasisha elimu ya kisiasa episode artwork

EPISODE · Jun 10, 2026

Vijana nchini Kenya wanavyotumia teknolijia kuhamasisha elimu ya kisiasa

from Wimbi la Siasa · host RFI Kiswahili

Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2027, vijana nchini humo, wanakumbatia teknolojia kuwafikia vijana wengi hasa wale wa rika la Gen Z, kujiandikisha kama wapiga kura na kuwania nyadhifa mbalimbali za uongozi. Je, hatua hii inaweza kuleta mwamko mpya wa kisiasa nchini Kenya ? Mwanahabari wetu Benson Wakoli alikutana na kuzungumza na vijana hao.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jun 10, 2026

Embed this episode

Ready to play

Vijana nchini Kenya wanavyotumia teknolijia kuhamasisha elimu ya kisiasa

0:00 0:00

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

When was this Wimbi la Siasa episode published?

This episode was published on June 10, 2026.

Can I download this Wimbi la Siasa episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!