EPISODE · Jun 17, 2026 · 4 MIN
Watoto 9 waliotumikishwa kijeshi na waasi waachiwa na kuanza maisha mapya nchini Sudan Kusini
from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Feissal Kirwa
Watoto tisa waliokuwa wakihusishwa na vikosi vya ulinzi katika Jimbo la Equatoria Magharibi nchini Sudan Kusini wameanza safari mpya ya maisha baada ya kutambuliwa, kuachiliwa na kukabidhiwa kwa ajili ya kurejeshwa katika familia na jamii zao.
Embed this episode
Ready to play
Watoto 9 waliotumikishwa kijeshi na waasi waachiwa na kuanza maisha mapya nchini Sudan Kusini
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.