EPISODE · Oct 30, 2023 · 5 MIN
WATU
from H.W PODCAST - Positive Vibes! · host Hub of Wisdom inc.
"The more hands you shake, the more opportunities you create." Katika hatua za awali za kujenga biashara au asasi uwezekano mkubwa ni kwamba watakaojihusisha na wewe ni watu wanaokufahamu. Vivyo hivyo ili watu wakufungulie milango ya fursa kigezo kimoja wapo kikubwa ni namna gani wanakufahamu. Fuatilia mtiririko wa episode hizi katika YouTube: H.W TV na Podcast: H.W PODCAST kila wiki. Maoni yako ni muhimu na atunayathamini sana, hivyo tuma ujumbe wako wa sauti kwa njia ya WhatsApp nasi tutaumbatanisha katika toleo lijalo au tuandikie kupitia 0753825794 au barua pepe [email protected]. Tembelea www.hubofwisdom.com/media kufahamu zaidi kuhusu program zetu na kuwa sehemu ya jamii hii. Tunapenda sana ukisikiliza, lakini tunapenda zaidi ukifanya. Kwahiyo fanya zaidi na uwe zaidi. Cheers!
Embed this episode
Ready to play
WATU
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.