EPISODE · May 14, 2026 · 16 MIN
Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi hilo jambo ni sahihi.
from Watushule Swahili Podcast · host Watushule
Watu wengi tunafanya maamuzi binafsi kwa kufuata mkumbo wa watu. Tunaogopa kufanya maamuzi yetu au tunakubali kufanya maamuzi ya familia na jamii kwa kuogopa kuoishana nao.Madhara ya maamuzi hayo huwa yanarudi kwetu na yanakuwa na mdhara ya muda mrefu sana au ya milele. Kwenye episode hii tutaangalia namna ya kujifunza kufikiria kinyume na makundi au kujiuliza kama maamuzi unayofanya ni binafsi au ni ya mhemko. Tutaangalia concept mpya za contrarian thinking na secondnorder thinking. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.watushule.com
Embed this episode
Ready to play
Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi hilo jambo ni sahihi.
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.