Yusufu: Kivuli cha Kristo episode artwork

EPISODE · Jun 21, 2026 · 44 MIN

Yusufu: Kivuli cha Kristo

from Tikvah's Podcast · host Tikvah

Send us Fan MailSimulizi la Yusufu siyo tu hadithi ya kutoka gerezani kwenda ikulu. Ni picha inayotuelekeza kwa Kristo.Yusufu alikuwa mwana aliyependwa na baba yake, akakataliwa na ndugu zake, akauzwa kwa fedha, akateseka bila hatia, na hatimaye akainuliwa ili kuhifadhi uhai wa wengi.Kwa namna kubwa zaidi, yote haya yanatuelekeza kwa Yesu Kristo — Mwana mpendwa wa Baba, aliyekataliwa, aliyeteseka, na kupitia mateso yake akaleta wokovu kwa ulimwengu.Katika kipindi hiki tunatafakari kwa nini Misri haikuwa nyumbani kwa Yusufu, na kwa nini Mkristo hapaswi kujenga tumaini lake juu ya mafanikio, mamlaka, mali, au nafasi aliyonayo, bali juu ya Kristo na uzima wa milele.Karibu kusikiliza Tikvah Podcast.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jun 21, 2026

Embed this episode

Send us Fan Mail Simulizi la Yusufu siyo tu hadithi ya kutoka gerezani kwenda ikulu. Ni picha inayotuelekeza kwa Kristo. Yusufu alikuwa mwana aliyependwa na baba yake, akakataliwa na ndugu zake, akauzwa kwa fedha, akateseka bila hatia, na hatimaye akainuliwa ili kuhifadhi uhai wa wengi. Kwa namna kubwa zaidi, yote haya yanatuelekeza kwa Yesu Kristo — Mwana mpendwa wa Baba, aliyekataliwa, aliyeteseka, na kupitia mateso yake akaleta wokovu kwa ulimwengu. Katika kipindi hiki tunatafakari kwa nin...

Distinct summary based on available episode metadata or transcript content.

NOW PLAYING

Yusufu: Kivuli cha Kristo

0:00 44:33

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Tikvah's Podcast?

This episode is 44 minutes long.

When was this Tikvah's Podcast episode published?

This episode was published on June 21, 2026.

Can I download this Tikvah's Podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!