PODCAST · news
Voice Of Philip Miyawa
by Philip Miyawa
This is my podcast, please have fun listening and give feedback
-
36
WETANGULA ASEMA MIGINGO NI KISIWA CHA WAKENYA
Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amesema yakwamba tume ya Pamoja iliyobuniwa na mataifa ya Kenya na Uganda, kwa kutumia michoro ya ramani ya kabla ya uhuru ilibaini wazi yakwamba kisiwa cha Migingo kiko katika ardhi ya Kenya na hivyo basi wavuvi wakenya hawafai kutatizwa na walinda usalama kutoka taifa Jirani la Uganda kila wanapofanya kazi yao ya uvuvi katika kisiwa hicho.Philip Miyawa anaripoti zaidi
-
35
MAFURIKO KISUMU: WAKAAZI WAOMBWA KUHAMIA MAENEO YA JUU
Wakaazi wanaoishi katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kaunti ndogo za Nyando na Kadibo huko Kisumu wametakiwa kuhamia katika maeneo salama na vituo vya uokoaji . Ombi hili lilitolewa na Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Kisumu Hussein Alanson Hussein ambaye aliongoza timu ya Kamati ya Usimamizi wa mikasa ya dharura ya Kaunti kutathmini athari za mafuriko katika maeneo hayo.Philip Miyawa ana zaidi...........
-
34
4,500 HOUSEHOLDS DISPLACED BY FLOODS IN KISUMU
Residents living in floods affected areas of Nyando and Kadibo Sub-Counties in Kisumu have been asked to move to safe grounds and the evacuation centers to avert loss of lives. The request was made by Kisumu Acting County Commissioner Hussein Alanson Hussein who led the County Disaster Management Committee team to assess the impact of the floods in the two sub-counties.Philip Miyawa reports.........
-
33
KISUMU FISH FIESTA
Kisumu County is set to hold a tourism signature event in a bid to promote the lakeside city as a tourism destination of choice and an investment hub. The event dubbed “Kisumu Fish Fiesta” set to run between 6th and 9th of April brings together tourism stakeholders in the county who will showcase various attraction sites among other activities such as boat race and kids fun-fare.Philip Miyawa reports
-
32
WANAHABARI KISUMU WASHAURIWA KUSHIKANA NA KUJIINUWA
Wanahabari katika kaunti ya Kisumu wameshauriwa washikane mikono na kushirikiana katika kujiendeleza licha ya changamoto mbali mbali zinazowakumba .By Philip Miyawa
-
31
CIVIL SOCIETIES ON CLIMATE SENSITIZATION EXERCISE.
Migori Civil society groups have embarked on a sensitization exercise on climate change to help combat and deal with issues related to change of environment.
-
30
CLIMATE CHANGE ADAPTATION PROG
DaCCA-LUOTend County ma Migori okwa mondo oti kod oganda ka ochakore e rang'iny mar Ward e keto e tim policy matayo lokruok mar lwasi e county no.
-
29
M-PESA FOUNDATION PARTNERS WITH KENYA RELIEF TO CONSTRUCT AND EQUIP 65-BED MATERNAL UNIT IN MIGORI
Wakfu wa M-Pesa na Shirika la Kenya Relief wametangaza ushirikiano utakaoruhusu wanawake na watoto katika Kaunti ya Migori kupata huduma bora za afya ya uzazi na watoto wachanga.
-
28
MWISE ADAI KUTISHWA NA VIONGOZI SERIKALINI
Mwakilishi wadi wa Ntimaru Mashariki katika kaunti ya Migori Bwana Augustine Mwera Mwise amewaomba viongozi anaosema ya kwamba wako na ushawishi serikalini wawache kuwashurutisha na kuwalazimisha wakaazi wa eneo hilo kuiunga mkono mrengo fulani wa kisiasa.
-
27
BARAZA LA NCCK LAAHIDI KUENDELEZA UJUMBE WA AMANI MIGORI
Baraza la kitaifa la makanisa hapa nchini NCCK tawi la Migori limeahidi kuendelea na juhudi zake za kuubiri amani katika kaunti hiyo wakati huu ambapo taifa linaelekea uchaguzi mkuu.
-
26
I AM NOT OBADO, HELLEN TELLS HER OPPONENTS
The wife of Migori governor Mrs. Hellen Adhiambo, who is also running for the seat of Miori County Woman Representative, has called on her opponents to stop burdening her with the politics of the outgoing governor, saying she is a candidate for the seat like other candidates.
-
25
MSINIHUSISHE NA SIASA ZA OBADO, ASEMA HELLEN
Mkewe gavana wa Migori Bi. Hellen Adhiambo ambaye pia anawania kiti cha mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Migori amewataka wapinzani wake wawache kumtwika mzigo wa kuhusisha siasa zake na gavana huyo anayeondoka akisema yakwamba yeye ni mwaniaji wa kiti hicho kama wawaniaji wengine.
-
24
KITAYAMA ATAKA MBINU MBADALA ITUMIKE KUPAMBANA NA UKEKETAJI
Kuna haja ya kubadilisha mbinu zinazotumiwa kwa sasa kukabiliana na tabia ya ukeketaji humu nchini. Haya yalisemwa na mbunge wa Kuria Mashariki Marwa Kitayama
-
23
KITAYAMA CALLS FOR NEW APPROACH TO TACKLE FGM
There is a need to change the methods currently used to address the practice of Female Genital Mutilation in the country. This was stated by Kuria East MP Marwa Kitayama.
-
22
KITAYAMA AWEKA WAZI MSIMAMO WA JAMII YAKE KUHUSU KITI CHA UGAVANA MIGORI
Mbunge wa Kuria Mashariki Bw. Marwa Kitayama amesema yakwamba jamii ya wakuria wanaoishi katika kaunti ya Migori watachaguwa gavana anayeweza kujali maslahi yao bila kujali misimamo ya vyama.
-
21
KITAYAMA - WE WILL VOTE FOR A GOOD GVNR NOT PARTY
Kuria East Member of Parliament Mr. Marwa Kitayama has said that the Kuria community living in Migori County will vote for a gubernatorial candidate who can care for their interests regardless of his/her political party.
-
20
NI WAKATI WA KURIA KUPEWA KAUNTI
Mbunge wa Kuria Mashariki Marwa Kitayama amesema yakwamba hataunga mkono marekebisho yeyote ya katiba ambayo haitawapatia jamii ya wakuria kaunti yao.
-
19
UTUMIZI MBAYA WA E-PILLS NA MADHARA YAKE
Baadhi ya mashirika hapa nchini yamekuwa katika mstari wa mbele wakuhamasisha wananchi kuhusu mbinu na njia mbali mbali za kupanga uzazi.Mchakato huo wote unatarajiwa kuzuia kupatikana kwa mimba za mapema na zisizotarajiwa, hatua ambayo imechangia pakubwa utumizi wa vidonge vya kuzuia mimba za dharura almarufu E-Pills. Karibu kwa Makala haya yanayoangazia kwa kina athari za utumizi mbaya wa dawa za kupanga uzazi hususan vidonge vya E- PILLS
-
18
KITAYAMA -IT IS TIME TO HAVE OUR OWN COUNTY
Kuria East MP Marwa Kitayama has said he will not support any constitutional amendment that will not give the Kuria community their own county.
-
17
FREE FOOD FOR CANDIDATES IN URIRI CONSTITUENCY- (LUO)
Tend karchung' odbura ma Uriri oketo chenro mar neno ni jopuonjre duto mag class 8 machako penjgi kawuononi e karchung' odbura no oyudo chiemo e kuonde ma gidhitimoe penjno.
-
16
MILA YA NYUMBA MBOKE NA MASAIBU YAKE
Miongoni mwa jamii ya wakuria wanaoishi katika kaunti ya Migori NYUMBA MBOKE ni aina ya ndowa ambapo mwanamke huowa mwanamke mwenzake.Tamaduni hii ambayo imekita mizizi miongoni mwa jamii hii inashutumiwa sana kwa kuchangia kuenea kwa virusi vya ukimwi.Makala haya yanaelezea kwa kina mengi kuhusu mila hii ambayo mara nyingi haizungumziwi hadharani.Katika malkala haya niliongea na waathiriwa wa mila hii potovu, wenye kuieneza na vile vile nikachukuwa maoni ya jamii kwa jumla.
-
15
NCCK TAKES PEACE MESSAGE TO HAMA BAY
As the nation approaches the general elections, the National Council of Churches of Kenya NCCK continued to spread the message of peace in various places in Homabay County over the weekend.
-
14
NCCK YAENEZA UJUMBE WA AMANI HOMA BAY
Huku taifa likikaribia uchaguzii mkuu, Baraza La Kitaifa La Makanisa Nchini (NCCK) liliendele kueneza ujumbe wa amaani kwenye sehemu mbali mbali za kuabudu katika kaunti ya Homabay.
-
13
UTAFITI WA KIDEMOGRAFIA NA AFYA 2022
Shirika la Takwimu la Kenya (KNBS) ikishirikiana na Wizara Ya Afya na wadau wengine wameanza rasmi zoezi la kufanya utafiti wa kidemografia na Afya wa mwaka 2022 katika kaunti ya Migori.
-
12
NCCK YA KATAA UCHOCHEZI
Baraza la Kitaifa la makanisa hapa nchini NCCK tawi la Migori limewataka viongozi wa kisiasa kuhepukana na matamshi yanayoweza kuchochea chuki na kuvuruga amani miongoni mwa wananchi.
-
11
MGOMO KMTC KEHANCHA
Wanafunzi wa chuo cha mafunzo ya matibabu kuko Kehancha walifanya mgomo na kususia masomo kwa siku mzima wakilalamikia kukosekana kwa huduma zinazotolewa na wafanyikazi wa vibaruwa katika chuo hicho.
-
10
MIGORI BUSINESS COMMUNITY EXPECT PEACEFULL 2022
In 2022 the nation of Kenya will hold a general election. Migori County is one of the most populous counties in the country. Yet residents of this county especially the business community have expressed hope that the campaigns and elections will be conducted peacefully and that their businesses will never be affected by violence.
-
9
VIJANA WAHIMIZWA KUJISAJILI KAMA WAPIGA KURA
Uongozi wa muungano wa vijana katika kaunti ya Migori umewahimiza vijana katika kaunti hiyo kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha kama wapiga kura.
-
8
YOUTHS URGED TO REGISTER AS VOTERS
Youth leadership in Migori County has encouraged young people of voting age to turn out in large numbers and register as voters.
-
7
MINE NYALO: Diana Rose
Diana Rose is a human rights activist who oversees the NGO known as FARAJA in Migori county.She is well known for her efforts to defend the rights of commercial sex workers.Here she speaks with Philip Miyawa about her
-
6
ERADICATING FGM :THE TASK AHEAD
The Kenyan government under the leadership of President Uhuru Kenyatta promised to completely eradicate female genital mutilation in the country by 2022.I visited the villages of Kuria in Migori county where this practice is still entrenched in the community and probed the possibility of the community abandoning this degrading practice by next year.
-
5
AGIZO LA RAIS KUHUSU UKEKETAJI LATILIWA SHAKA
Serikali ya Kenya chini ya uongozi wa Rais Uhuru Kenyattaa iliahidi kuangamiza kabisa tabia ya ukeketaji wa wanawake hapa nchini ifikapo mwaka wa 2022.Mwanahabari wetu Philip Miyawa alitembelea vijiji vya Kuria katika county ya Migori ambapo tabia hii bado imekita mizizi miongoni mwa jamii na kutathmini juu ya uwezekano wa jamii hiyo kuwachana na mila hii potovu ifikapo mwaka ujao.
-
4
MAKALA: NDUGU HASIMU MPAKANI
Kwa miaka na mikaka jamii ya wakuria wanaoishi mpakani mwa Kenya na Tanzania wameishi kama Ndugu. Lakini visa vya hivi majuzi vya wakuria kutoka upande Wa Kenya kuvamiwa nchini Tanzania wanapovuka mpaka kuingia katika taifa hilo jirani vinatishia kusambaratisha undugu kati ya jamii hiyo inayotenganishwa na mpaka.
-
3
BEI RAHISI YA MAFUTA TANZANIA YAATHIRI BIASHARA HIYO MIGORI
Baada ya bei ya mafuta kupanda hapa nchini, wakaazi wa kaunti ya Migori inayopakana na Taifa la Tanzania sasa wameamua kuvuka mpaka hadi taifa hilo jirani kununua mafuta hiyo kwa bei nafuu jambo linalosemekana kuathiri pakubwa biashara ya mafuta katika county hiyo.
-
2
Episode 1
Mgomo wa wanyanyikazi wa wa kibaruwa (Casual Workers) wa serikali ya county ya Migori umeingia siku yake ya tatu huku wafanyikazi hao wakiendelea kudai mishahara yao.
-
1
MAKALA MAALUM- JINSI KUPOTEA KWA UMEME UNAVYO ATHIRI UCHUMI MIGORI
Nguvu za umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa na muhimu kwa maendeleo ya uchumi.Kupotea kwa nguvu za umeme kila mara katika mji wa Migori sasa linatajwa kama kama kizingiti kikubwa katika ukuwaji wa uchumi wa mji huo.
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
This is my podcast, please have fun listening and give feedback
HOSTED BY
Philip Miyawa
CATEGORIES
Loading similar podcasts...