PODCAST · religion
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
by FUATA BIBLIA
Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu. Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha FAUTA BIBLIA IKUONGOZE. Ili apate maarifa ya Neno la Mungu. Soma: Hosea 4:66 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.Una karibishwa kuuliza ulizo lolote ulilo nalo katika Biblia, na kuleta mahoni yako, kwa usahidizi wa kipindi hiki.Sikiliza mafundisho Pia hapa kwenye YOUTUBE:https://www.youtube.com/@fuatabibliaikuongoze5921
-
45
Sababu gani Yesu alipanda Punda kuelekea Yerusalemu?
Mafundisho kuhusu Pasaka, sikiliza hii ingine. https://soundcloud.com/user-529110866/fundisho-kuhusu-pasaka?si=7d1a61d4053b4fb6851d3f5deb910b79&utm_source=clipboard&utm_medium=text&utm_campaign=social_sharing
-
44
TAJI AU THAWABU ZITAKAZOPEWA WATAKATIFU
1 Wakorintho 3:12-15 12 Lakini kama mtu akijenga juu ya msingi huo, dhahabu au fedha au mawe ya thamani, au miti au majani au manyasi, kazi ya kila mtu itakuwa dhahiri. 13 Maana siku ile itaidhihirisha, kwa kuwa yafunuliwa katika moto; na ule moto wenyewe utaijaribu kazi ya kila mtu, ni ya namna gani. 14 Kazi ya mtu aliyoijenga juu yake ikikaa, atapata thawabu. 15 Kazi ya mtu ikiteketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa; lakini ni kama kwa moto. Pia hapa kenye: Apple Podcast: https://podcasts.apple.com/dk/podcast/fuata-biblia-ikuongoze/id1329309738 Spotify Podcast: https://open.spotify.com/show/63df4Xlq7snUoF99dXliMm
-
43
Itaji Wimbo Mpya Part 2
Zaburi 32:7 7 Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, Utanizungusha nyimbo za wokovu. Itaji limbo mpya ( Daniel 6 )
-
42
Itaji Wimbo Mpya Part 1.
Itaji Wimbo Mpya Part 1. by FUATA BIBLIA
-
41
Tunda La Roho ( UVUMILIVU )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
-
40
Tunda La Roho ( AMANI )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
-
39
Tunda La Roho ( FURAHA )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
-
38
Tunda La Roho ( UPENDO )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
-
37
Kunena Kwa Lugha Part 2.2
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
-
36
Kunena Kwa Lugha Part 2.1
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
-
35
Kunena Kwa Lugha Part 1.2
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
-
34
Kunena Kwa Lugha Part 1.1
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
-
33
Nguvu Ya Sifa Na Maabudu
Mtumishi Kicha Kisambo ubiri kubusu Sifa na Maabudu.
-
32
Fundisho kuhusu Pasaka
Pasaka kubwa tatu ndani ya Biblia
-
31
Je, chanjo ya corona ni 666?
Covid-19 Vaccination; Je, ninamba ya mnyama 666?
-
30
Nini maana ya Kupayuka payuka katika maombi?
Mathayo 6:7 7 Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
-
29
Barua kwa Sardi( Ufunuo 3:1-6 )
Barua kwa Sardi( Ufunuo 3:1-6 ) by FUATA BIBLIA
-
28
Barua kwa Pergamo( Ufunuo 2:12-17 )
Barua kwa Pergamo( Ufunuo 2:12-17 ) by FUATA BIBLIA
-
27
Barua kwa Smurna ( Ufunuo 2:8-11 )
Barua kwa Smurna ( Ufunuo 2:8-11 ) by FUATA BIBLIA
-
26
Barua kwa Efeso ( Ufunuo 2:1-7 ) Part 2.
Barua kwa Efeso ( Ufunuo 2:1-7 ) Part 2. by FUATA BIBLIA
-
25
Barua kwa Efeso( Ufunuo 2:1-7 ) Part 1.
Barua kwa Efeso( Ufunuo 2:1-7 ) Part 1. by FUATA BIBLIA
-
24
JE, nivizuri watumishi wa Mungu kuwa na walinzi wa mwili ( Bodyguard )?
Ulizo ilio ulizwa na wasikilizaji wetu; Je, nivizuru mtumishi wa Mungu kuwa na walinzi wa mwili ( Bodyguard )? Nawe ukiwa na Ulizo fulani kuhusu Imani yako ya Kikristo, karibu upate kuuliza. Ulizo yako itakuwa usahidizi kwa watu wengine. Support link / Towa msahada wako hapa: https://streamlabs.com/fuatabibliaikuongoze Mafundisho kwa sauti: https://soundcloud.com/user-529110866 https://podcasts.google.com/.../aHR0cHM6Ly9mZWVkcy5zb3VuZ... Tufwate hapa: https://www.facebook.com/Fuata2017 https://www.facebook.com/IKUU-1004985... https://www.youtube.com/watch?v=06eyHgn2ENo&t=2468s
-
23
Utofauti wa Huduma na Karama
Mazungumuzo kuhusu Utofauti wa Huduma na Karama.
-
22
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 2.
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 2. by FUATA BIBLIA
-
21
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 1.
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 1. by FUATA BIBLIA
-
20
Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 2 )
Sikiliza pia: Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 1 )
-
19
Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 1 )
Ona pia: Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 2 )
-
18
Mafundisho kuhusu Sabato
Sabato ni nini? Mafundisho kuhusu Sabato kwa urefu.
-
17
JE, MWANAMKE HARUHUSIWI KUFUNDISHA KANISANI?
Fundisho kuhusu mstari hii. 1 Timotheo 2:12 12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
-
16
Kuomba Katika Roho Part 2
Pastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.
-
15
Kuomba Katika Roho Part 1
Pastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.
-
14
Yohana 14:12
Pasta Apalale ana fundisha katika Fuata Biblia ikuongoze Studio. Yohana 14:12. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
13
Maombezi
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Kuusu Maombezi... 1Timotheo 2:1-3 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; 2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. 3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
12
Nifanye Nini Ili Niingiye Katika Ufalme Wa Mbinguni? Part 2
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni.. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
11
Nifanye Nini Ili Niingiye Katika Ufalme Wa Mbinguni? Part 1
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni.. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
10
Mwisho Wa Dunia Part 2
Pasta Apalale Ause ina fundisha katika kanisa la Eglise Famille de Diue. Mathayo 24:14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Matendo ya Mitume 2:17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
9
Mwisho Wa Dunia Part 1

8
Namba Au Chapa Ya Munyama Part 3
Pastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ [email protected] Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
-
7
Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 3

6
Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 2

5
Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 1

4
Kisha Kanisa Kunyakuliwa Part 2
Pastor Pierre Birunga, kutoka Denmark-Skanderborg. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skanderborg. Fundisho: Kisha Kanisa Kunyakuliwa. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ [email protected] Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
-
3
Kisha Kanisa Kunyakuliwa Part 1
Pastor Pierre Birunga, kutoka Denmark-Skanderborg. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skamderborg. Fundisho: Kisha Kanisa Kunyakuliwa. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ [email protected] Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
-
2
Mafundisho kuusu Neema Part 2
Pastor Harrison Makenga, kutoka Norway-Oslow. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skanderborg. Fundisho: Neema. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ [email protected] Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
-
1
Mafundisho Kuusu Neema Part 1

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu. Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha FAUTA BIBLIA IKUONGOZE. Ili apate maarifa ya Neno la Mungu. Soma: Hosea 4:66 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.Una karibishwa kuuliza ulizo lolote ulilo nalo katika Biblia, na kuleta mahoni yako, kwa usahidizi wa kipindi hiki.Sikiliza mafundisho Pia hapa kwenye YOUTUBE:https://www.youtube.com/@fuatabibliaikuongoze5921
HOSTED BY
FUATA BIBLIA
CATEGORIES
Loading similar podcasts...